ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ndio chama sikivu kwa watanzania chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania

Mkuu tafadhali sana, Tena nnakusihi Kwa unyenyekevu mwingi, usinitafutie ban.
 
Mkuu tafadhali sana, Tena nnakusihi Kwa unyenyekevu mwingi, usinitafutie ban.
Bado hujaguswa na utumishi wa CCm? Huduma gani ambayo hakijakufikia hapo ulipo? Nini ungependa CCM ifanye ili uridhike? Ni kero gani inayokutesa ambayo ungependa serikali ya CCM ije kukutatulia
 
Bado hujaguswa na utumishi wa CCm? Huduma gani ambayo hakijakufikia hapo ulipo? Nini ungependa CCM ifanye ili uridhike? Ni kero gani inayokutesa ambayo ungependa serikali ya CCM ije kukutatulia

Naomba rudia na kusoma vizuri nilichokuomba hapo juu. Tafadhali sana
 
R.I.P JPM.. hakika ulikuwa unainyosha nchi. Maono yako yalikuwa mhimu sana nchi hii.
 
Anaenda kusaka kiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…