Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Kivipi Mkuu?Huyu Mama sio wa mchezo mchezo,
2025 wapinzani msiweke mgombea Kwani Ni matumizi mabaya ya pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi Mkuu?Huyu Mama sio wa mchezo mchezo,
2025 wapinzani msiweke mgombea Kwani Ni matumizi mabaya ya pesa
Yaani inatia mpaka hasira maana wamezidi kuwa wengi mno siku.Who is Shaka? Tunaweka politics kwa Kila kitu! Watanzania ni wapumbavu saana
Hakika Kundi la WajingaYaani inatia mpaka hasira maana wamezidi kuwa wengi mno siku.
View attachment 2360262
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ndio chama sikivu kwa watanzania chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania
Bado hujaguswa na utumishi wa CCm? Huduma gani ambayo hakijakufikia hapo ulipo? Nini ungependa CCM ifanye ili uridhike? Ni kero gani inayokutesa ambayo ungependa serikali ya CCM ije kukutatuliaMkuu tafadhali sana, Tena nnakusihi Kwa unyenyekevu mwingi, usinitafutie ban.
Bado hujaguswa na utumishi wa CCm? Huduma gani ambayo hakijakufikia hapo ulipo? Nini ungependa CCM ifanye ili uridhike? Ni kero gani inayokutesa ambayo ungependa serikali ya CCM ije kukutatulia
😀😀CHADEMA walishakwisha hao, ni majungu tuWewe humu kila mtu Ni shaka
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM Taifa anayefuata sera za Utawala bora hasa Utawala wa Sheria?!
View attachment 2359994
#Usikokose kesho,
…Sahihi kabisa Stroke
CDM Tangia walipopuuzwa na watanzania wamebaki Kama wamechanganyikiwa😀😀CHADEMA walishakwisha hao, ni majungu tu
wanalamba asali tu yaani,CDM Tangia walipopuuzwa na watanzania wamebaki Kama wamechanganyikiwa
Mkuu kwema?!Ahsante kwa taarifa...
Kumbe Shaka nae anaguts za kula vichwa[emoji15]
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM Taifa anayefuata sera za Utawala bora hasa Utawala wa Sheria?!
View attachment 2359994
#Usikokose kesho,
Kiki SHAKA za nini?Anaenda kusaka kiki.