Huzunika na mamaView attachment 3265526
Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera zake za kujali wanyonge na kuiishi falsafa ya binaadamu wote ni sawa kwa vitendo.
Mtu kwenda Kampala na kutumia vitu vidogo kujitafutia umaarufu haiingii akilini. Kufuta au kuichafua legacy ya Mwalimi siyo rahisi.
RIP our beloved father of our great nation.
Mkuu hizo ndio reference ya huko Uganda? Aliiongea zaidi ya siku 4 zilizopita, leo ndio hizo tissue paper zinatoa mrejesho?View attachment 3265526
Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera zake za kujali wanyonge na kuiishi falsafa ya binaadamu wote ni sawa kwa vitendo.
Mtu kwenda Kampala na kutumia vitu vidogo kujitafutia umaarufu haiingii akilini. Kufuta au kuichafua legacy ya Mwalimi siyo rahisi.
RIP our beloved father of our great nation.
Hahahahaha hajui kiingereza.Mkuu hizo ndio reference ya huko Uganda? Aliiongea zaidi ya siku 4 zilizopita, leo ndio hizo tissue paper zinatoa mrejesho?
Alafu yanaandika kitu kinachofanana🤣🤣🤣🤣🤣lissu kiboko magazeti 5 yote yeye ndio heading, by the way
there’s no such thing as bad publicity
CCM wapumbavu sanaAlafu yanaandika kitu kinachofanana🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli hakuna mwenye akili CCM
Ila ni sawa kusifiwa kwa aliyofanya akiwa madarakani.Kuna mahali kama kawaida yake kamnanga sana Baba wa Taifa.
Anasema yeye ndiye aliyeweka Katiba hii ya sasa inayomfanya Rais awe na madaraka makubwa.
Ni ujinga kumlaumu J K Nyerere kwa Katiba hii. Kwa kuwa Nyerere alitoka mwaka 1985, halafu alifariki 1999.
Na Kikwete katumia Tsh 400 Bilioni kwenye katiba Katiba ya Warioba kati ya mwaka 2014-15 na hatukupata Katiba. Na Lissu pia alikuwapo kwenye bunge maalum la katiba.
Nyerere aliiandika Katiba ya 1977 na akaiheshimu pamoja na mapungufu yake. Hapaswi kulaumiwa
EEeeeenHEEEEEE!RIP our beloved father of our great nation.
Vigazeti uchwara vimeanza kuibuka kuelekea uchafuzi mkuu mwaka huu. Wahariri lugha ya Kingereza haipaandi ndiyo maana hawakuelewa na alichosema Lissu na wameamua kupotosha, CCM ina upuunguani sana.
Alafu yanaandika kitu kinachofanana🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli hakuna mwenye akili CCM
Huu uzi umejibiwa na vijana wana jazba sana. 😂😂😂😂hawa hapa. Yaani wameumia, by the way hayo magazeti ni ya jamvi la habari publishers, ni online yote, huchapisha habari kwa blog na instagram haswa, yanafatiliwa sana East Africa. Na yapo hewani toka 2015.Mkuu hizo ndio reference ya huko Uganda? Aliiongea zaidi ya siku 4 zilizopita, leo ndio hizo tissue paper zinatoa mrejesho?
Nyerere ni lazima awe criticized. Hakuwa mtakatifu Kwanza kwenye awamu ya pili ya uongozi wa Mzee mwinyi tungekuwa tumeisha irudisha Tanganyika yetu kama asingekuwa yeye kuingilia kati. Hovyo kabisa.Kuna mahali kama kawaida yake kamnanga sana Baba wa Taifa.
Anasema yeye ndiye aliyeweka Katiba hii ya sasa inayomfanya Rais awe na madaraka makubwa.
Ni ujinga kumlaumu J K Nyerere kwa Katiba hii. Kwa kuwa Nyerere alitoka mwaka 1985, halafu alifariki 1999.
Na Kikwete katumia Tsh 400 Bilioni kwenye katiba Katiba ya Warioba kati ya mwaka 2014-15 na hatukupata Katiba. Na Lissu pia alikuwapo kwenye bunge maalum la katiba.
Nyerere aliiandika Katiba ya 1977 na akaiheshimu pamoja na mapungufu yake. Hapaswi kulaumiwa
Siyo kuwa tuna jazba bali wameandika uongo tumesikiliza alichosema Lissu sasa mtu akija na stori ambayo siyo lazima tumseme kuwa anaongopa.Huu uzi umejibiwa na vijana wana jazba sana. 😂😂😂😂hawa hapa. Yaani wameumia, by the way hayo magazeti ni ya jamvi la habari publishers, ni online yote, huchapisha habari kwa blog na instagram haswa, yanafatiliwa sana East Africa. Na yapo hewani toka 2015.
So either it's a lie au true, ila uanchokisikia kipo au kinakuja. Though yes, yanasifia sana serikali zilizo madarakani haya.
Nimemjibu aliyesema ni uchwara hayo si uchwara yapokila siku. Hayajaibuka. Yana umri kabla hamjaanza kuingia hata jf humu wote mliojibu😂😂😂😂