Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja.Mimi sitetei hayo "mapambano" kama kweli yapo, na hili nilisha liandika humu siku nyingi sana za nyuma.
Lakini ni muhimu pia ufahamu hawa wanao kazania na kukumbushia hili nia yao ni nini hasa.
Lissu hawezi kamwe kupata umashuhuri wowote kwa kupambana na kivuli cha Mwalimu Nyerere, naye hili nina hakika analitambua vyema.
Simba keshataja nirudie nini sasa nijibu hizo toilet papers ulizopost? Hujui unachootype hapaMakosa gani hayo aliyofanya, yataje!! Kama wewe ni mbumbumbu hata upelekwe Havard utapata SIFURI tu kama Bashite
Irudiishe sasa hiyo Tanganyika maana ni 26 toka Nyerere afarikiNyerere ni lazima awe criticized. Hakuwa mtakatifu Kwanza kwenye awamu ya pili ya uongozi wa Mzee mwinyi tungekuwa tumeisha irudisha Tanganyika yetu kama asingekuwa yeye kuingilia kati. Hovyo kabisa.
Usiendekeze ujinga kisa Lissu ni boss wako CHADEMA, saa zingine tumia akili yako.Ila ni sawa kusifiwa kwa aliyofanya akiwa madarakani.
Ninachojua Lisu husema ukweli kuhusu Nyerere regardless yuko nchi gani. Mnaotaka sifa za Nyerere ziwe ni zile mzipendazo tu, hilo sio kosa la Lisu bali lakwenu. Weka uongo aliousema Lisu huko Uganda ili tuupime.Usiendekeze ujinga kisa Lissu ni boss wako CHADEMA, saa zingine tumia akili yako.
Yaani usafiri kwenda Uganda kumponda Nyerere??? Stupid
Kingine Lissu ali downplay umuhimu wa vita vya Uganda. Anaona ilikuwa ni mchakato wa Nyerere kumrudisha madarakani Milton Obote.
This is crazy!! Leo Afrika Mashariki na Kusini haijatulia kwa sababu ya instability ya DRC inayosababishwa na PK wa Rwanda.
Kuyatoa majeshi ya M23 ambayo ni vibaraka wa Rwanda hakuna tofauti na JK Nyerere alivyomfagia Iddi Amin ambaye alitaka kujimegea ardhi ya Tanzania.
Huyu Lissu anataka ku UNDO historia ya Tanzania wakati familia yake inaishi Belgium, hastahili heshima yeyote
Kuhusu vita dhidi ya Uganda. Lissu anasema ni Nyerere alitaka kumrudisha rafiki yake Obote.Ninachojua Lisu husema ukweli kuhusu Nyerere regardless yuko nchi gani. Mnaotaka sifa za Nyerere ziwe ni zile mzipendazo tu, hilo sio kosa la Lisu bali lakwenu. Weka uongo aliousema Lisu huko Uganda ili tuupime.
Waliomualika wanafadhiliwa na NGOs zinazomfadhili Lissu huko Belgium..Lissu hakujipeleka Uganda, alialikwa na chuo kikuu cha Makerere idara ya Sheria.
..pia hakuitwa kujadili vita vya Kagera, bali alialikwa kutoa mada kuhusu legacy ya Mwalimu Nyerere ktk masuala ya Kikatiba ktk ukanda wa Afrika Mashariki.
Ni uongo?Kuhusu vita dhidi ya Uganda. Lissu anasema ni Nyerere alitaka kumrudisha rafiki yake Obote.
Jamaa ana akili mpk Belgium wanamtambua kitu ambacho ukoo wenu wote hamjulikani hata na diwaniWaliomualika wanafadhiliwa na NGOs zinazomfadhili Lissu huko Belgium
Waliomualika wanafadhiliwa na NGOs zinazomfadhili Lissu huko Belgium
Lissu anasema uwongo sana, kama hujui basi siyo kosa lako maana nyinyi ndiyo watoto wa 2000. Nyerere alikufa 1999Ninachojua Lisu husema ukweli kuhusu Nyerere regardless yuko nchi gani. Mnaotaka sifa za Nyerere ziwe ni zile mzipendazo tu, hilo sio kosa la Lisu bali lakwenu. Weka uongo aliousema Lisu huko Uganda ili tuupime.
Ni uwongo wa kipumbavu. Hivi kama Iddi Amin laiti angefanikiwa kukata sehemu ya ardhi ya Tanzania na kuiunganisha na Uganda, tungemuongelea vipi Nyerere kwa leo?Ni uongo?