Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.