Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi kazi za kupeana kwa kujuana ndio matatizo yake kama hayo !! Na ilishatokea tena na tena. Sio sasa tuu !!View attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno na ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
" (Mkalimani)Utanichanganya zaidi"-RutoView attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno na ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
Kwanini Samia hakutaka kusikiliza kingereza?Kwann Ruto hakuongea kiswahili? Tuanzie hapo.
Tusihamishe liability ya idara husika na ukalimani kushindwa kazi yake.Kwani hata huyu rais wenu nae hajui kingereza?
Huu utetezi wa kijinga kidogo.Kwanza utambue kuwa Yule wa msiba wa magufuli sio huyu wa juzi
Na huyo wa msiba wa magu anasema mawasiliano yalikatika so hakusikia rais alisema nn na Kwa heshima uwez kumwambia rais rudia
Ruto alikataaa because alitaka kuchanganya English na swahili ndio maana alimwambia atarudia
Dah wewebhiyo clip ni nyingine na unachoongea kingine..View attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
Unapokea mshahara wa bure.Kwahyo mnanisagia kunguni au sio.
Sasa kama ruto amesema hataki mkalimani ndio unataka mkaliman afukuzwe?Huu utetezi wa kijinga kidogo.
Flimsy excuses for non performance, ndio maana hata idara husika kiongozi wake awajibishwe.
Inaelekea mkalimani ni yule yule wakati wa msiba wa Magu.Sasa kama ruto amesema hataki mkalimani ndio unataka mkaliman afukuzwe?
Kwani alikataa because ya kazi yake mbaya ?
Mbona alitafsiri salam tu ndio ruto akasema hapana
Inaelekea mkalimani ni yule yule wakati wa msiba wa Magu.
Kama hujasikiliza rudia kusikiliza hata yale maneno ya kwanza tu ilikuwa ni aibu. Ruto alichosema na alichokisema mkalimani ni vitu viwili tofauti. Ruto aligundua akaamua kutufichia ile aibu. Ukizingatia Ruto na wakenya wanajua kiswahili ingelikuwa ni aibu wa mwaka. Tumshukuru Ruto kutusetiri.Nyie vijana ndio maana mnafeli Sana shida yenu ni ujuaji mwingi bila hata kufanya simple research
Mkaliman wa Ruto hakuna kosa alifanya Ila Ruto hakutaka mkaliman ndio maana aliuliza hakuna mtu anajua kizungu hapa?
Wakamwambia mkaliman ni Kwa ajili ya wanainchi ambao wanaangalia kwenye TV
Yeye Ruto akasema basi ataongea English and swahili
Sasa hapo shida ya mkaliman ni nini?
Kitu kama hicho kiliwahi kutokea mwaka 1975. Wiki chache baada ya Msumbiji kupata uhuru, Rais Samora Machel alikuja Tanzania kwa ziara rasmi kuja kuishukuru Tanzania kwa misaada iliyotoa mpaka kupatikana kwa uhuru wa Msumbiji. Kufuatana na itifaki Rais Samora alianza kutoa hotuba kwa Kireno na akawepo mkalimani wa kuwafikishia Watanzania yasemwayo kwa Kiswahili. Baada ya muda mfupi Rais Samora akaingilia kati na kuanza kusema moja kwa moja kwa Kiswahili.View attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
Kama hujasikiliza rudia kusikiliza hata yale maneno ya kwanza tu ilikuwa ni aibu. Ruto alichosema na alichokisema mkalimani ni vitu viwili tofauti. Ruto aligundua akaamua kutufichia ile aibu. Ukizingatia Ruto na wakenya wanajua kiswahili ingelikuwa ni aibu wa mwaka. Tumshukuru Ruto kutusetiri.
Kwenye hili Ruto ni Mshenzi sana hapa watanzania mnapaswa kujua historia, Wakenya feels with ego akija Tanzania aongee English, huyu mjinga Ruto used Kiswahili fully in his campaign for his ascendance to the presidency, In fact ni dharau kubwa Kwa host country na Rais wake, look kinly at his confidence alifanya upumbavu sana huyo Ruto, he should have used his Kenyan Swahili dialect simple as that.
Ruto alitukosea heshima mjinga yule.
Hapana kwani baada ya pale alitimiza ahadi yake ya kurudia Kwa Kiswahili? Yeye alijifanya kama waliohudhuria ndio walengwa wakati Ile hafla imerushwa live kwa public. Wahusika wajipange wakati mwingineLakini mbona aliomba
Alisema Swahili yake sio mzuri sanaaaaa Bora akaongea English
Me sioni shida kabisa,
Hivi mtu mzima na akili zake timamu anaweza poteza muda na nishati ya akili yake kuandikia jambo dogo km hili lisilokuwa na impact yoyote mahali popote, hii ni sawa na kuwasha tochi mchana, kichaa ndio anaweza kufanya hivi..hakuna mjuzi wa lugha isiyo yake.View attachment 2385572