Kama wanataka huo umaalum, waambie wawe wanatafsiri hotuba atakayosoma mgeni na kuwapa wasikilizaji wasome wakati akianza kuhutubia, vinginevyo huwezi kumlaumu mkalimani anapotafsiri on the spot..kwanza siyo lugha yake, pili maneno yana tafsiri nyingi kwa lugha nyingine..muhimu ni maana ya ujumbe na si tafsiri ya neno kwa neno anayosema mtoa hotuba. Ruto alitoa sababu ya kumzuia mkalimani si hii unayoleta wewe..lakini kutafsiri kunachukua muda zaidi tofauti na kama mzungumzaji angeongea peke yake..pengine Ruto alitaka kutunza muda, hayo ndio unapaswa uelewe na si kumlaumu mkalimani.
..hapo unaleta visingizio tu.
..wakalimani wetu hawana viwango.
..hicho alichofanya mkalimani ni sawa na mhandisi ajenge daraja chini ya kiwango halafu likaporomoka.
..tunatakiwa tuwahimize wajiongeze ili tusiendelee kuingia aibu.