Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

Kwanini Samia hakutaka kusikiliza kingereza?

Kwani nae hajui kama yule dhalimu wenu?
dhalimu ni dhalimu tu... ukweli ni kwamba magufuli alikuwa hajui ngeli
waliokereka sana na kututoka kwake wakamfufue wazikwe wao
 
Kwenye hili Ruto ni Mshenzi sana hapa watanzania mnapaswa kujua historia, Wakenya feels with ego akija Tanzania aongee English, huyu mjinga Ruto used Kiswahili fully in his campaign for his ascendance to the presidency, In fact ni dharau kubwa Kwa host country na Rais wake, look kinly at his confidence alifanya upumbavu sana huyo Ruto, he should have used his Kenyan Swahili dialect simple as that.

Ruto alitukosea heshima mjinga yule.

..Wakenya wanaweza kuongea Kiswahili cha mtaani.

Hawawezi kuongea Kiswahili ktk masuala rasmi ya kitaalam, kiserikali, au kisheria.

..Kama kulihitajika Mkalimani kwa ajili ya media basi kazi hiyo ilitakiwa ifanyike nje ktk vyombo vya habari bila kuingilia hotuba ya Raisi Ruto pale ukumbini.
 
Mbona Rais wa Jamhuri ya Kenya anaongea Kiswahili kinachoeleweka.

Huyo Mkalimani analitia aibu Taifa.
 
Watasema alifanya vile kwa maslahi mapana ya Taifa, uzalendo.

..Yap!!

..Mkalimani wakati wa msiba wa Magufuli alikuwa anatafsiri " KIZALENDO. "

..akiona mahali pataleta mushkel wananchi kusikia aliweka maslahi ya taifa mbele.
 
Wakalimani wengi wa nchi wanatia aibu yaani ni afadhali waache tu
 
Sio Yule ni watu 2 tofaut kabisa, huyu wa Ruto ni Yule alikuwa anakaliman wakati wa mambo ya makanikia Yule wa msiba ni mwingine kabisa ana kipara
Tutajuaje, samaki mmoja akioza............!
Embarrassment ya kukataliwa na Rais Ruto iwaingie hadi utosini.
 
Hivi mtu mzima na akili zake timamu anaweza poteza muda na nishati ya akili yake kuandikia jambo dogo km hili lisilokuwa na impact yoyote mahali popote, hii ni sawa na kuwasha tochi mchana, kichaa ndio anaweza kufanya hivi..hakuna mjuzi wa lugha isiyo yake.
Mkuu kama umetoka Igunga juzi, waachie wenyewe katika protokali.
Kwa taarifa yako, kuna idara mahsusi serikalini wenye kazi ya kutafsiri lugha kwa ajili ya viongozi kutoka lugha moja hadi nyingine.
Na wanalipwa kwa kodi/tozo yako.
 
Mkuu kama umetoka Igunga juzi, waachie wenyewe katika protokali.
Kwa taarifa yako, kuna idara mahsusi serikalini wenye kazi ya kutafsiri lugha kwa ajili ya viongozi kutoka lugha moja hadi nyingine.
Na wanalipwa kwa kodi/tozo yako.
Kama wanataka huo umaalum, waambie wawe wanatafsiri hotuba atakayosoma mgeni na kuwapa wasikilizaji wasome wakati akianza kuhutubia, vinginevyo huwezi kumlaumu mkalimani anapotafsiri on the spot..kwanza siyo lugha yake, pili maneno yana tafsiri nyingi kwa lugha nyingine..muhimu ni maana ya ujumbe na si tafsiri ya neno kwa neno anayosema mtoa hotuba. Ruto alitoa sababu ya kumzuia mkalimani si hii unayoleta wewe..lakini kutafsiri kunachukua muda zaidi tofauti na kama mzungumzaji angeongea peke yake..pengine Ruto alitaka kutunza muda, hayo ndio unapaswa uelewe na si kumlaumu mkalimani.
 
Umesahau uliandika


Nami kama wako mtiifu nikaiweka. Hivyo nilitimiza maagizo yako. Masuala ya kukosea sipo

Nilitaka clip unioneshe sehem ambayo mkalimani amekosea kutafsiri
 
Back
Top Bottom