Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Achukuliwe hatua, anamuaibisha Mama Samia mbele ya kadamnasi na mbele ya Rais mgeni.View attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno na ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
View attachment 2385572

Achukuliwe hatua, anamuaibisha Mama Samia mbele ya
kadamnasi na mbele ya Rais mgeni.dug
Hata kwenye msiba wa Magu mkalimani alikuwa akienda tofauti kabisa sijui kwa nini serikali inawachukua wakalimani vilaza kutuabisha kwa makosa ambayo hata aliyemaliza kidato cha Nne St Kayumba hawezi kuyafanya.
Watasema alifanya vile kwa maslahi mapana ya Taifa, uzalendo.Hata kwenye msiba wa Magu mkalimani alikuwa akienda tofauti kabisa sijui kwa nini serikali inawachukua wakalimani vilaza kutuabisha kwa makosa ambayo hata aliyemaliza kidato cha Nne St Kayumba hawezi kuyafanya.
Hata kwenye msiba wa Magu mkalimani alikuwa akienda tofauti kabisa sijui kwa nini serikali inawachukua wakalimani vilaza kutuabisha kwa makosa ambayo hata aliyemaliza kidato cha Nne St Kayumba hawezi kuyafanya.
View attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno na ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
Idara ya Protokali, Wizara ya Mambo ya Nje hapa wanahusika moja kwa moja.Hizo hatua unataka achukue nani?
Hao wenye mamlaka unaodhani wanaweza kumchukulia hatua, wangelikuwa ndio wakalimali ungelia....!!
AibuView attachment 2385572
Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno na ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake kunaiweka nchi katika matatizo si ya kidiplomasia tu, bali hata wakalimani toka Tanzania kutoaminika.
Hivyo basi tunataka kusikia hatua zilizichukuliwa kwa huyo mkalimani na kiongozi wa idara yake kwa kuiaibisha nchi, hadi Rais Ruto kumkataa hadharani.
Mbona una akili ndogo.
Fuatilia Rais Ruto kasemaje, na mwisho kumkataa mkalinani.
Amekosea angalia sana angalia clip sehemu ya kwanza ile Ruto anahutubia uwanjani anapomzungumzia President Magufuli halafu linganisha na alichosema mkalimani kisha jiulize ni Sawa ?
Nimekosea mimi nilikurupuka...Kwenye msiba wa magufuli Ruto alikuja? Ruto aliongea?
So ruto na Uhuru wote waliongea?
Nyie vijana vipi?