Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!


..hapo unaleta visingizio tu.

..wakalimani wetu hawana viwango.

..hicho alichofanya mkalimani ni sawa na mhandisi ajenge daraja chini ya kiwango halafu likaporomoka.

..tunatakiwa tuwahimize wajiongeze ili tusiendelee kuingia aibu.
 
..hapo unaleta visingizio tu.

..wakalimani wetu hawana viwango.

..hicho alichofanya mkalimani ni sawa na mhandisi ajenge daraja chini ya kiwango halafu likaporomoka.

..tunatakiwa tuwahimize wajiongeze ili tusiendelee kuingia aibu.
Mbona mkalimani alitafsiri sawa sawa tu...! Mlitaka atafsiri vipi?
 
Ni hatari sana pale hadi "anayekalimaniwa" anaposhtukia kuwa mkalimani aliyepewa na wenyeji wake tena "ikulu" ni wa "mchongo".

Hili ni tusi la wazi wazi kwa nchi mwenyeji, kuwa haina wakalimani profesional.
 
Na huo ndio ukweli. Ruto alishtukia kuwa mkalimani alisema kitu tofauti na alichoongea. Na hii advantage alikuwa nayo kwa kuwa naye kiswahili cha hapa na pale anakipata.
 
Lugha inaweza isiwe yako na bado ukajifunza ukaijua. Mpaka unapewa kazi ya ukalimani ni wazi unaijua lugha husika.
 
dhalimu ni dhalimu tu... ukweli ni kwamba magufuli alikuwa hajui ngeli
waliokereka sana na kututoka kwake wakamfufue wazikwe wao
"Umekuwa kasuku wa Zitto". Mwenzako analia kupoteza uenyekiti wa maisha wa kamati ya Bunge ya PAC. Ambako walipiga hela ya mashirika yenye miradi uchwara mfano NSSF ya Dau (PhD)
 
Unazungumzia mkalimani yupi? Huyo mkalimani kaambiwa,"Shut up!".
 
Tayari ni aibu tu ......
 
Kwani yule aliyetabiri Kwa makusudi tofauti kabisa na alichosema Rais wa South Africa kwenye msiba wa uncle Dodoma alichukuliwa hatua Gani????
 
Kwani yule aliyetabiri Kwa makusudi tofauti kabisa na alichosema Rais wa South Africa kwenye msiba wa uncle Dodoma alichukuliwa hatua Gani????
Hao watabiri maneno au wakalimani?
Wasulubiwe!
 
Hii nchi imejaa ujanja ujanja mpaka Ikulu. Fikiria nchi inatoa rais kilaza, wasaidizi wake watakuwaje
 
Natafuta mkaliwoman kuna kigori mmoja wa kijapan hajui kirengesa wala kiiswahili na nataka nifyetue nae.
 
Humu Kuna chawa wengi, wavumilie, hawaoni ujinga na dharau ya Ruto, kampeni zake kafanya kiswahili hata kama ni kibovu with Kenyan accent inatosha na tutaelewa, lakini kaka hapa ana act kuongea kiingereza eti kasahau kiswahili, huo ni upumbavu sana , Rais ana toka ndani ya EAC ambayo kiswahili ni lugha ya mawasiliano lakini anaogopa kuongea kiswahili, huo ni ulimbukeni na ushamba.
 
Mawasiliano gani? Kwani huyo mkalimani alikuwa anatumia radio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…