Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

Bila kuwafurusha hawa masisiem, Mpaka 2030, kila mtanzania atakuwa akidaiwa deni la milioni 200 kila kichwa kimoko
 
Worse leader ever. Mzanzibari kaenda kuiwakilisha tanganyika kwenye boom
 
Halafu wazee wakutengeneza control number wana zoom tu
 
Hii nchi itakujapigwa mnada soon (chanzo -NDUGAI)
 
Safi kabisa mama,watumishi wa umma tuko pamoja na wewe,nasasa nasema sio mikumi tena,wewe endelea tu hadi utakapochoka,kiufupi watumishi unawakonga nyoyo zao😍😍
 
Pumzika kwako ndugu JOB NDUGAI au karibu huku ACT
 
Kwani Mapato yatokanayo na bandari baada ya DP World kuingia yameishia wapi????
 
MKOPO UONGEZWE .alafu kila kijiji kipewe trekta MOJAA..(hatakama hawalimi)

Au#kausha DAMU [emoji23][emoji23]
 


Cha ajabu hao waarabu wanapewa vitu kama ngorongoro, bandari na nasikia wanataka wawape KIA hawatoi mkopo wala nini wanawapa apartment’s huko kwao watu wanauza nchi. Badala ya mikopo tungepewa viwanda
 
Mtia Saini mkopo kutoka singida na mkopaji kutoka unguja. Ukija ukauza mkoa wa singida na unguja huwezi kupata Tsh 6 Trillions.
 
 
Mikopo tumechoka sasa tunataka ndoo au pipa. Utani!
Huo mkopo ukichukuliwa msisahau kuboresha pale mlima Kitonga naona kuna mkandarasi hajiwezi.
Walau pia nimeona kuna mradi wa kutanua barabara njia ya Kimara/
Wangeomba kujengewa Highway toka Kibha hadi Dodoma na Chalinze -Kilimanjaro njia 6 kama alivyofanyiwa RUTO
Nairobi- Mombasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…