Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutiliana saini utashuhudiwa na wasanii aliyoenda naoKaiga ya JMK....
Kutwa kutembea na bakuli nchi za nje!
Hapo yeye na msururu wake wamepiga bilions za shilingi!
Hovyo kabisa...
Hamuoni aibu kuikopa Korea ilhali ni agemate wa Tanganyika? Yenyewe iliwezaje kuwa tajiri wakati ilikuwa na hali mbaya kuizidi Tanganyika?Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5 kuanzia 2024 hadi 2028 ambapo Tanzania ni nchi ya pili Afrika kupokea Mikopo hiyo kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi Korea (EDCF)
Ziara hiyo ni mwaliko wa Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea ambayo itamalizika Juni 6, 2024
View attachment 3003469View attachment 3003470
Cha msingi ifanye kazi iliyo kusudiwa na Kwa usimamizi makini. Chondechonde asije akaigawa Kwa walamba asali na wale mbuzi walao Kwa urefu wa kamba zao, huku siye wana-wa- nchi tukibeba mzigo mzito wa madeni.Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5 kuanzia 2024 hadi 2028 ambapo Tanzania ni nchi ya pili Afrika kupokea Mikopo hiyo kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi Korea (EDCF)
Ziara hiyo ni mwaliko wa Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea ambayo itamalizika Juni 6, 2024
View attachment 3003469View attachment 3003470
Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5 kuanzia 2024 hadi 2028 ambapo Tanzania ni nchi ya pili Afrika kupokea Mikopo hiyo kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi Korea (EDCF)
Ziara hiyo ni mwaliko wa Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea ambayo itamalizika Juni 6, 2024
View attachment 3003469View attachment 3003470
Mitano tena! Mama anaupiga mwingi
Ziara inayofuata ataenda na umoja wa madereva wa bodaboda,next ataenda na umoja wa machawa tz...utawala usio na plan zozote yani upoupo tu haujui unafanya nini.Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5 kuanzia 2024 hadi 2028 ambapo Tanzania ni nchi ya pili Afrika kupokea Mikopo hiyo kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi Korea (EDCF)
Ziara hiyo ni mwaliko wa Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea ambayo itamalizika Juni 6, 2024
View attachment 3003469View attachment 3003470
Yaani jinsi wale wamama wa uswahilini wanavyoendesha familia zao kwa mikopo ya kausha damu ya kukopa kopa kila mahali na yeye ndio anaendesha nchi hivyo hivyo sema tu yeye anaifanya katika macro-level.Mama ni mama. Ameshindwa kutengeneza njia za kuingiza mapato katika nchi yake pamoja na ongezeko la kodi kila kona. Hatimae nchi yote imeingizwa kwenye VICOBA.
Nchi hii kila mtu apambane na familia yake tu.Yaani jinsi wale wamama wa uswahilini wanavyoendesha familia zao kwa mikopo ya kausha damu ya kukopa kopa kila mahali na yeye ndio anaendesha nchi hivyo hivyo sema tu yeye anaifanya katika macro-level.
Maarifa aliyonayo ni kidogo sana huyu mama
Na hili ndio chanzo cha matatizo yaliyotufikisha huku ambayo yamechagizwa sana sana na kukosa uzalendo...Nchi hii kila mtu apambane na familia yake tu.