Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

Trillions 6 ni pesa nyingi sana lazima ituambie inaelekezwa kwenye miradi gani
Naona mkopo huu ni moja ya mikopo mikubwa sana ambayo nchi hii imewahi kukopa. Hilo la kuambiwa riba nafuu ni kutaka kujifurahisha tu. Riba ya asilimia moja kwa mikopo wa trillion 6 ni Sawa na billion 60. Hapo nimeitoa mfano tu. Ikipendeza tuambiwe hiyo riba nafuu ni kiasi gani.
 
Huku kukopakopa kuna Siku tutakuja kutapishwa fedha za wenyewe bila kupenda.
Ukiambiwa ulipe kodi na leseni ya biashara haulipi,dai risiti hau dai yaani hatupendi kulipa kodi na huo utamaduni hatuutaki, watu wakikopa miradi pia isonge mbele wa kwanza kupiga kelele, hakika tuna watu wa ajabu sana.
 
Kwahio unataka kusemaje?
Binadamu wa wapi amelipa Kodi kwa hiari?
1.Weka Kodi
2. Weka mfumo wa ukusanyaji
3.Simamia ukusanyaji
4.Weka mfumo wa ulinzi wa ulichokusanya
5.Simamia mfumo wa ulinzi uliouweka
6.Panga matumizi Bora ya fedha ulizokusanya
7.Weka mfumo wa matumizi hayo
8.Simamia mfumo wa matumizi hayo

Step hizo nane ndizo zilizowapa mafanikio ya utozaji Kodi kokote duniani
Kodi si suala la kuhubiri Kama unavyojaribu kutuhubiria hapo

Uwajibikaji wa ulipaji Kodi unaanza kwa mifumo Bora ya Kodi, mapato na matumizi Bora we mbwiga!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ameenda kutafuta hele ya familia zao na genge lao la watu wachache.
 
Hizo pesa anazokopa ovyo ovyo atakuja kuzilipa nani?
 
Ukiambiwa ulipe kodi na leseni ya biashara haulipi,dai risiti hau dai yaani hatupendi kulipa kodi na huo utamaduni hatuutaki, watu wakikopa miradi pia isonge mbele wa kwanza kupiga kelele, hakika tuna watu wa ajabu sana.
Una uhakika na ulicho kiandika?.
 
"kama Kuna mtu ana amini kwamba taifa hili,litapata maendeleo kwa kupewa msaada,anajidanganya.Narudia kama Kuna mtu ana amini kwamba taifa hili litapata maendeleo kwa kupewa msaadaa anajidanganya"Hayati BWM
Huo ni mkopo,Kuna tofauti ya mkopo na msaada
 
Tuwe tunaambiwa ni miradi ipi na gharama za kila mradi vinginevyo tutaambiwa zimetumika kwenye mradi fulani wakati uligharamiwa na pesa za ndani.
Ni sahihi. Hizo pesa zote zitapotea mifukoni mwa watu wachache akina Mwigulu na jeshi lake.
 
Pia atawashukuru Korea Kusini Kwa miradi ifuatavyo

Salender bridge
Muhimbili-Mlonganzila na
Daraja la mto Malagalasi

View: https://www.instagram.com/p/C7qSe5aqfqE/?igsh=MTNpZmVqc3luYmgwNw==
 
Pia atawashukuru Korea Kusini Kwa miradi ifuatavyo

Salender bridge
Muhimbili-Mlonganzila na
Daraja la mto Malagalasi
 
Pia atawashukuru Korea Kusini Kwa miradi ifuatavyo

Salender bridge
Muhimbili-Mlonganzila na
Daraja la mto Malagalasi
 
Mkuu mbona unaingilia kazi ya Lucas Mwashambwa?
 
Hawana hela wanaenda kuombaomba bandari wameuza kwa jamaa zao
Hi nchi Ina laana
 
Kusaini mkopo ndo kabeba na wasanii, ama kweli hii nchi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…