Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Labda diplomasia ya kuvaa ushungi.
Punguza chuki mkuu, usije ukapata presure au ugonjwa wa moyo bure!!!
haya maisha ni mapito tu.

Pia kumbuka kuwa binaadamu wote ni sawa tu mbele za Mungu hivyo hatuna sababu ya kuchukiana au kudharauliana.
 
ulitaka tuuze wapi gas mzee, manake hata tusipowauzia sisi wao wanaweza kuuziwa na wengine. unataka gasi tuifanyie nini mzee. yaani unapata mteja kununua gas afu unasema unaogopa kumuuzia asije kukupita kiuchumi? akili au matope.
Matope hasa.
 
Baadhi ya wanaJF wanamchukulia Mama kama Rais ambaye anaingia ofisi ya URAIS akitokea kwenye uchaguzi. Jueni kuwa mama ana UZOEFU wa miaka 5 kama Makamu wa Rais.

Amehuzuria mikutano mingi sana ya Kimataifa inayohusu mambo ya kibiashara na uchumi akimuwakilisha Rais, hivyo ana uzoefu wa kutosha. Nawaomba wanaJF tumwamini natum-support na tumpe muda. ANAWEZA NA ATATUVUSHA SALAMA
 

1) hakunaga kitu kinaitwa surplus, biashara ni game of opportunities + risks!

a) sera ya viwanda its impossible kwa tanzania wakati mnahubiri ajira, magufuli alitia watu moyo viwanda mkamkejeli sasahv mnalalamika nn? endeleeni na maombi ya ajira acha wakenya waje kuwekza arifu.

b) nyie ndo mlikua mstari wa mbele kulalamika hatuwawekei wawekezaji mazingira mazuri ya kuja kuwekeza, sasa acha mama ajenge mahusiano mazuri waje kuwekeza kama unavojua kenya wamewekeza bil 1.5 mpaka sasa tanzania na waendelee kuja mpaka muelewe magufuli alikua anazungumza nini.

2) Air tanzania mmesema ndege zote ziuzwe, kama haukuemo usiniquote vibaya!

3) soko la utalii watanzania wananufaika kwa ajira tu toka tumepata uhuru, mkiambiwa mjitahidi kuwekeza mnapoweza mnalalilia ajira
 
Mwambie huyo mjinga! Nani anaongoza Germany, Scotland, Newzealand ? Nani anaongoza WTO, IMF?
 
Viwanda vya kubangua korosho tulikuwa navyo wakati wa Nyerere lakini kwa sera zetu za kijamaa na kukosa menejimenti vilikufa by early 1990s.

Hatuwezi kurudia kuvifufua na ku iendesha kama Serikali, Ila ni fursa kwa Sekta binafsi kujishughulisha na unanguaji korosho. Kazi ya Serikali inabakia ni kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya biashara kustawi.
 
Uchumi wa kati[emoji1787][emoji2][emoji1787]
 

Mama anakwenda vizuri. Atasifiwa na kina bashiri, chakubanga au dotto mlipa mapesa kweri?

Mama mitano mingine inamhusu sana ila atushawishi kwenye haya:

1. Kupatikana kwa ripoti sasa ya CAG kuhusu BOT na TPA.
2. Kupatikana sasa kwa ripoti ya wataalamu kuhusu Corona.
3. Kuchukuliwa hatua stahiki kuhusiana na ripoti za CAG.
4. Kushughulikiwa bila kuangalia makunyanzi kwa yale magenge yaliyotaka kuuhujumu na kuuzima urais wa mama kihayawani.

Akiyaweza hayo - mitano mingine itamhusu mama kutoka kwa kila mtanzania na hasa kutoka kwa kila mzalendo.
 
Unaposema kugawa gesi una maanisha nini? Kwani hao wakenya wanapewa bure?
 
Kwanza unapelekaje gas kenya wakati watanzania wenyewe haujatusambazia ;hii kweli nchi ya ahadi
 
Tawiree!
 
kwani gas anapewa bure...?

Urusi anauza gas karibu ulaya yote..

sioni kibaya labda kama tunampa bure.
 
hapo kwa hilo la gas bila kupepesa macho tuambiane tu ukweli ameteleza: zaidi ya hapo atupe maelezo yeye amelenga wapi?
 
mbon nimeskia nkataba wa ges ulikua wa muda mrefu mazunguO yanaendelea walichofanya ni kumalizia kuweka dole.je unah hakika gan hii haikua plan toka en ya wamu ya tano.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani gas anapewa bure...?
Urusi anauza gas karibu ulaya yote..

sioni kibaya labda kama tunampa bure...
warusi wenyewe wanashida ya nishati kama sisi?
na hata kama unauza, sio bure sawa ila ndo unauza mpaka kitu unakihitaji tena sana
 
Si ndio nikasema hakuna alienyimwa, wote wamepewa 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…