Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea


Ulitaka gas tupeleke wapi kwa wazungu pekee !!! Mawazo finyu. Kwani hatuwezi kunafaika wote? Mbona UE, Canada, USA na Mexico wanafanya biashara bila matatizo sisi ni kuogopana tu na umasikini wetu
 
Kuna siku alikuwa anaongelea kuhusu wawekezaji waharakishiwe vibali vyao kutoka uhamiaji, na pia waachwe wasisumbuliwe, nikasema hapa kuna shida mahali.

RIP THE MAN HIMSELF!
 
Subiri na wewe uwe Rais utakuja na Sera zako! Mbona kwa JPM hamkochongoa midomo?
 
Mama angetulia kwanza ofisini(nchini)
Ni mapema sana kuanza kusafiri safiri namna hii na kuingia mikataba.
(Ni maoni tu lakini)
 
Tutamkumbuka
 
Sera za kushupaza shingo zishapitwa na wakati. Win-win situation ndiyo nafasi yake hii. Ukienda Mtwara watu wako taaban hali mbaya. Wakati utafiti unafanyika wa gesi, hali iliimarika sana Mtwara,lakini leo, hali ni tete. Hivyo sioni mantiki kwa nini gesi wasiuziwe wanaohitaji, ili mradi tu tunapata mapato ya Nchi.
 
Mbona huko kusini kuna gesi nyingi inangoja kuchimbwa
 
Mwanamke huongozwa na mwanaume! Eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion, kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi.
Ukizaa watoto wa kike usiwapeleke shule maana watakuja kuwa viongozi waache wakae jikoni tu
 
Kuna wajinga wa CCM wameanza kampeni ya chini kwa chini eti Mama Samia awe Raisi wa Muhula mmoja na wanataka yule Waziri Mkuu Bogus awe Raisi
Tunasema hivi hatutaki kuwa Korea ya Kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…