Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi dunia asingeweza kuishi mtu.
Monopolistik sijui manini nini!
Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.
Kashampiga bao Bibi SASHA.