Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu hamna haki za binadamu.
Naomba watufahamishe hapa Rais Samia yupo wapi na anafanya nini hapo.