Njua ya muongo ni fupi,mbona mana ana mialiko zaidi ya nchi 10 dunianiWanaukumbi.
Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu hamna haki za binadamu.
Naomba watufahamishe hapa Rais Samia yupo wapi na anafanya nini hapo.
View attachment 2116891
Mwimba pambio wa enzi zile mbaya huoni mengi yamebadilika, ikiwa ni pamoja na jobo kutupisha, kufungulia magazeti na kuanza mabadiliko ya Sheria komozi na tunaelekea kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na pia tunaelekea kuwa fikisha kortini wasiojulikana wote, na mwanzo tumeanza kuuona kwa saambovu na kondaboy na tunapanga kuelekea Kwa akina badluc&co. 🤔Wanaukumbi.
Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu hamna haki za binadamu.
Naomba watufahamishe hapa Rais Samia yupo wapi na anafanya nini hapo.
View attachment 2116891
Lile pepo si lilishatolewa?Mwimba pambio wa enzi zile mbaya huoni mengi yamebadilika, ikiwa ni pamoja na jobo kutupisha, kufungulia magazeti na kuanza mabadiliko ya Sheria komozi na tunaelekea kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na pia tunaelekea kuwa fikisha kortini wasiojulikana wote, na mwanzo tumeanza kuuona kwa saambovu na kondaboy na tunapanga kuelekea Kwa akina badluc&co. 🤔
Mama kakubali hoja za wapinzani, ulaya wamemsameheWanaukumbi.
Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu hamna haki za binadamu.
Naomba watufahamishe hapa Rais Samia yupo wapi na anafanya nini hapo.
View attachment 2116891
Yamekua hayo tena kamanda?Huyu ana hudhuria mikutano tuu kama ambavyo Mugabe alipopigwa ban sio ziara rasmi ya kiserikali.
Hata rais wa Iran huwa anaenda Marekani kuhudhuria mikutano pamoja na uadui wao
Chief mbona ulipotea sana awamu ya urais wa JPM?Wanaukumbi.
Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu hamna haki za binadamu.
Naomba watufahamishe hapa Rais Samia yupo wapi na anafanya nini hapo.
View attachment 2116891
MagufuliNa aliyesema anaifungua Tanzania kamuulize kwani ilifungwa na nani?
Simple tu.. hebu jiulize kwann mkuu alisema anaifungia NCHI? Nadhan utapata jibu juu ya kauli za kina Lema!!Wanaukumbi.