johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo hizi ndege zetu ni mbovu?Sioni suala hili halina uhusiano wowote na Magufuli kuifufua Air Tanzania kihuni huni vile kwa kununua mandege mabovu mabovu.
Kuna tweet Ruto kasema wamekodi kwa sababu gharama ya kwenda na KQ ilikua kubwa sana waka opt kukodi.Ulichokiandika hakina uhusiano, irrelevant.
Kinachopingwa na wakenya wengi ni namna safari ya Ruto kwenda USA ilivyofanyika kwa gharama kubwa zisizo za lazima.
Fahamu tu, Kenya airways wana ndege nyingi, kubwa na nzuri, ilitosha Ruto kutumia Kenya Airways kwenda USA na kusingekuwa na mjadala wowote.
Sioni suala hili halina uhusiano wowote na Magufuli kuifufua Air Tanzania kihuni huni vile kwa kununua mandege mabovu mabovu.
Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa zaidi ya ndege nne za ATCL zilizonunuliwa na Magufuli zimepaki chini, mbovu, haziruki popote zaidi ya miezi sita na hazijulikani zitafufuka lini.Kwahiyo hizi ndege zetu ni mbovu?
Umemaliza kila kitu.Mleta mada naona umechanganya mambo hapa. Na hii nadhani ni kutokana na kutoelewa kile ambacho kimezua mjadala huko Kenya...
Wewe ni jasiri sabaHadi sasa haieleweki Rais Rutto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
..
Je ni mbovu au labda season ya biashara imekuwa low?Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa zaidi ya ndege nne za ATCL zilizonunuliwa na Magufuli zimepaki chini, mbovu, haziruki popote zaidi ya miezi sita na hazijulikani zitafufuka lini.
Ndugu yangu ni mbovu.Je ni mbovu au labda season ya biashara imekuwa low?
Kuhusu boing nadhan inajulikana dunia nzima kwamba zilisimamishwa kutokana na hitilafu fulani fulani
Tukikupa urais unao uwezo hata wa kununua mpya moja??Ulichokiandika hakina uhusiano, irrelevant.
Kinachopingwa na wakenya wengi ni namna safari ya Ruto kwenda USA ilivyofanyika kwa gharama kubwa zisizo za lazima.
Fahamu tu, Kenya airways wana ndege nyingi, kubwa na nzuri, ilitosha Ruto kutumia Kenya Airways kwenda USA na kusingekuwa na mjadala wowote.
Sioni suala hili halina uhusiano wowote na Magufuli kuifufua Air Tanzania kihuni huni vile kwa kununua mandege mabovu mabovu.
Au isije ikawa sabotage? Maana wabongo hatushindwi na kituNdugu yangu ni mbovu.
Kuanzia zile bombardia mpaka dream liner, ziko garage, zingine zipo hapo Dar na nyingine nje ya nchi.
Waambie ukweli Hawa machawa!..midege yenyewe ilikuwa inawindwa na mabeberu ili ilipe madeni ya kifala ya magufuli.
Nilikuwa na wasiwasi huo wa myopic subbotage.Au isije ikawa sabotage? Maana wabongo hatushindwi na kitu
Si bora hata huko kenya kiasi cha pesa alichotumia. Rais Ruto kinajadiliwa. Kwenye mediaHadi sasa haieleweki Rais Rutto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Rutto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa gharama isiyozidi Ksh million 10
Mjadala ni mkali Citizen TV
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono ππ
Sasa hilo ni kosa la Magufuli au la nyie aliyowaachia hizo ndege mzitunze?Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa zaidi ya ndege nne za ATCL zilizonunuliwa na Magufuli zimepaki chini, mbovu, haziruki popote zaidi ya miezi sita na hazijulikani zitafufuka lini.