mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Eti mandege mabovu,ndege mumeachiwa nzima mnfanyia uzinzi tu mpaka zinaharibika mnamsingizia yeye??Ulichokiandika hakina uhusiano, irrelevant.
Kinachopingwa na wakenya wengi ni namna safari ya Ruto kwenda USA ilivyofanyika kwa gharama kubwa zisizo za lazima.
Fahamu tu, Kenya airways wana ndege nyingi, kubwa na nzuri, ilitosha Ruto kutumia Kenya Airways kwenda USA na kusingekuwa na mjadala wowote.
Sioni suala hili halina uhusiano wowote na Magufuli kuifufua Air Tanzania kihuni huni vile kwa kununua mandege mabovu mabovu.