kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Awamu hii ya 6 mmewahi kuhoji hilo?Si bora hata huko kenya kiasi cha pesa alichotumia. Rais Ruto kinajadiliwa. Kwenye media
Ungeweza kufanya hivo awamu ya 5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu hii ya 6 mmewahi kuhoji hilo?Si bora hata huko kenya kiasi cha pesa alichotumia. Rais Ruto kinajadiliwa. Kwenye media
Ungeweza kufanya hivo awamu ya 5?
Uko sahihi kabisa.1. Maafisa wa serikali hawapaswi kufadhiliwa chochote moja kwa moja kutoka kwa mtu, taasisi au kikundi fulani. Ufadhili wote wa namna hiyo, ni sawa na rushwa, utakatishaji wa fedha.
Hapo kuna 'comedy' ya aina yake.Hadi sasa haieleweki Rais Rutto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Rutto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa gharama isiyozidi Ksh million 10
Mjadala ni mkali Citizen TV
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono 😃😃
Kwani sasa hivi katika awamu hii inayojiita ya sita, vyombo vya habari vinayajadili maswala ya namna hiyo? Tofauti yake ni nini?Si bora hata huko kenya kiasi cha pesa alichotumia. Rais Ruto kinajadiliwa. Kwenye media
Ungeweza kufanya hivo awamu ya 5?
Hizo ndege zimekufa baada ya kurithishwa madaraka na hichi kibibi.maana hakajui kuwaongoza watu wake.kila mradi ulioanzishwa na Magufuli Kwa Sasa zinakufa sababu ya kurithi li mutu la ajabu ajabu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa zaidi ya ndege nne za ATCL zilizonunuliwa na Magufuli zimepaki chini, mbovu, haziruki popote zaidi ya miezi sita na hazijulikani zitafufuka lini.
Kwanza rekebisha hapo, sio "kuepuka viongozi kukodi ndege kwa Marafiki", ni "kuepuka viongozi kukodiwa ndege na Marafiki" .Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono 😃😃
Na wala hatutaki kuelewa.Hadi sasa haieleweki
Mkuu kukuongezea pia, kitendo cha Rais kuchangiwa nauli ya ndege kina walakini haswa hasa hao marafiki watakapo hitaji msaada wake!!!Mleta mada naona umechanganya mambo hapa. Na hii nadhani ni kutokana na kutoelewa kile ambacho kimezua mjadala huko Kenya.
Kinachohojiwa huko siyo kutokuwa na shirika la ndege imara, ila ni kitendo cha Ruto kukodi ndege kwa ajili ya ziara yake hiyo ya Marekani.
Kwamba Wakenya wanaamini kuwa hakukuwa na ulazima wa kukodi ndege hasa kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha pesa.
Ndiyo maana Ruto anajitetea kuwa, hakutumia pesa za umma kukodi ndege hiyo, bali alichangiwa na aliowaita ni rafiki zake.
Lakini, siyo suala la uimara au ulegevu wa shirika la ndege la Kenya, kwani KQ ni moja ya mashirika ya ndege imara Afrika Mashariki na Kati.
Lina safari hadi za kwenda huko USA na Uingereza, wakati ATCL haiendi hata Afrika Kusini.
Ova
Kama hujui ni kuwa hata Samia anapochukuwa ATC na kusafiri nayo ni kama amekodi kwa sababu ile siyo ndege yake.Hadi sasa haieleweki Rais Rutto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Rutto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa gharama isiyozidi Ksh million 10
Mjadala ni mkali Citizen TV
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono 😃😃
Unajua maana ya discount?Mwisho kabisa Ruto ametumia hoja dhaifu sana ya kusema eti ni marafiki zake wametoa pesa za hiyo ziara. Ruto amesahau haya;
1. Maafisa wa serikali hawapaswi kufadhiliwa chochote moja kwa moja kutoka kwa mtu, taasisi au kikundi fulani. Ufadhili wote wa namna hiyo, ni sawa na rushwa, utakatishaji wa fedha.
2. Ufadhili huo ulipaswa kutangazwa kabla na kuidhinishwa na vyombo husika vya serikali nk.
3. Kwa kuwa mpaka sasa Marekani (wenyeji wa hiyo ziara) na shirika la ndege (wasafirishaji) wamekanusha kutoa ufadhili huo, hiyo ina maana kama ni kweli huo ufadhili ulitolewa na watu basi walitoa pesa, sasa imekuwaje Serikali ikaidhinisha matumizi makubwa hivyo ya pesa kwa ajili ya ziara wakati wangeweza kufanya tofauti.
Mkuu hatuwezi chochote zaidi ya kuiba kura!!!Au isije ikawa sabotage? Maana wabongo hatushindwi na kitu
Mkuu elimu ya uraia inapanuka, barafu ya ujinga inayeyuka, wananchi wanafungua zaidi kimawazo na kimtazamo!Kwani sasa hivi katika awamu hii inayojiita ya sita, vyombo vya habari vinayajadili maswala ya namna hiyo? Tofauti yake ni nini?
Ni kweli.Mkuu kukuongezea pia, kitendo cha Rais kuchangiwa nauli ya ndege kina walakini haswa hasa hao marafiki watakapo hitaji msaada wake!!!
Kwanini asipande ndege za kawaida kama anavyofanya Rais wa Zambia?Hadi sasa haieleweki Rais Rutto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Rutto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa gharama isiyozidi Ksh million 10
Mjadala ni mkali Citizen TV
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono 😃😃
Hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaa. Lazima alikuwa hajui kuwa Kenya wana Kenya Airways ambayo kiukweli iko mbali sana kuliko anavyojua yeye.Mleta mada naona umechanganya mambo hapa. Na hii nadhani ni kutokana na kutoelewa kile ambacho kimezua mjadala huko Kenya.
Kinachohojiwa huko siyo kutokuwa na shirika la ndege imara, ila ni kitendo cha Ruto kukodi ndege kwa ajili ya ziara yake hiyo ya Marekani.
Kwamba Wakenya wanaamini kuwa hakukuwa na ulazima wa kukodi ndege hasa kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha pesa.
Ndiyo maana Ruto anajitetea kuwa, hakutumia pesa za umma kukodi ndege hiyo, bali alichangiwa na aliowaita ni rafiki zake.
Lakini, siyo suala la uimara au ulegevu wa shirika la ndege la Kenya, kwani KQ ni moja ya mashirika ya ndege imara Afrika Mashariki na Kati.
Lina safari hadi za kwenda huko USA na Uingereza, wakati ATCL haiendi hata Afrika Kusini.
Ova
Aliogopa ukungu anganiUlichokiandika hakina uhusiano, irrelevant.
Kinachopingwa na wakenya wengi ni namna safari ya Ruto kwenda USA ilivyofanyika kwa gharama kubwa zisizo za lazima.
Fahamu tu, Kenya airways wana ndege nyingi, kubwa na nzuri, ilitosha Ruto kutumia Kenya Airways kwenda USA na kusingekuwa na mjadala wowote.
Sioni suala hili halina uhusiano wowote na Magufuli kuifufua Air Tanzania kihuni huni vile kwa kununua mandege mabovu mabovu.
Swadakta MkuuKenya hawapo salama muda wote dhidi ya majasusi.
Ruto alichofanya ni akili kubwa, alijua watamtia kwenye ukungu mkali.
Shujaa wako we shoga, lile lihutu lilikuwa baguzi, baguzi, liuaji, aligawa nchi. Mfuate akhera bwege we. Ndege imekodishwa amechangia mamako? Vimaskinu havinaga ht haya.Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Ruto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa gharama isiyozidi Ksh million 10
Mjadala ni mkali Citizen TV
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki
Mlale Unono 😃😃