Ziara ya Ruto nchini Marekani inatufunza kwanini Hayati Magufuli aliamua kuimarisha ATCL

Si bora hata huko kenya kiasi cha pesa alichotumia. Rais Ruto kinajadiliwa. Kwenye media
Ungeweza kufanya hivo awamu ya 5?
Awamu hii ya 6 mmewahi kuhoji hilo?
 
1. Maafisa wa serikali hawapaswi kufadhiliwa chochote moja kwa moja kutoka kwa mtu, taasisi au kikundi fulani. Ufadhili wote wa namna hiyo, ni sawa na rushwa, utakatishaji wa fedha.
Uko sahihi kabisa.
Kesho na keshokutwa hao marafiki wakitaka wapewe favor na yeye Ruto ubavu wa kuwakatalia atautoa wapi? Walichofanya hao marafiki ni rushwa kwa mlango wa nyuma.
 
Hapo kuna 'comedy' ya aina yake.
Ruto ni 'crook' ambaye hawezi kujificha watu wasijue. Uzuri wa hao jamaa wanamhenyesha. Bahati yao, angalau hadi sasa, pamoja na u-'crook' wake hana cha kuwafanya wanaomsema. Marafiki zake juzi huko kwenye safari yake wakazidi kumchoma kwa msumari, na kumfunga spidi kwa masharti aliyopewa.

Lakini fundisho muhimu hapa ni namna jinsi hivi vi-nchi vya kiarabu vyenye ukwasi mkubwa unavyojipenyeza na kushirikiana na haya mapapa ya dunia kuzikandamiza nchi hizi za kiafrika. Hawa UAE sasa wanahaha kila mahali, hata kwenye mizozo, kama kule Sudan, Ethiopia, Eritrea na kwingineko, wapo, wanatumia hela zao kuchochea migogoro.

Hapo kwa majirani, bila shaka ni mbinu zao za kutaka kushirikiana na Marekani kumpiku mChina katika nchi hiyo.

Hofu yangu inazidi kupanda hapa kwetu. Hizi chaguzi zinazokuja zitanunuliwa na hawa waarabu ili kulinda maslahi yao ya 'carbon credits' na mbuga za wanyama na bandari, n.k., n.k..
 
Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa zaidi ya ndege nne za ATCL zilizonunuliwa na Magufuli zimepaki chini, mbovu, haziruki popote zaidi ya miezi sita na hazijulikani zitafufuka lini.
Hizo ndege zimekufa baada ya kurithishwa madaraka na hichi kibibi.maana hakajui kuwaongoza watu wake.kila mradi ulioanzishwa na Magufuli Kwa Sasa zinakufa sababu ya kurithi li mutu la ajabu ajabu.
 
Hapa ndipo nimemkumbuka yule Shujaa wa Africa Dr Magufuli aliyetuachia urithi wa ndege za kutosha kuepuka mambo ya viongozi kukodi ndege kwa Marafiki

Mlale Unono πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwanza rekebisha hapo, sio "kuepuka viongozi kukodi ndege kwa Marafiki", ni "kuepuka viongozi kukodiwa ndege na Marafiki" .

Pili naunga mkono hoja kuhusu Magufuli na kununua midege kuifufua ATCL Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
P.
 
Mkuu kukuongezea pia, kitendo cha Rais kuchangiwa nauli ya ndege kina walakini haswa hasa hao marafiki watakapo hitaji msaada wake!!!
 
Kama hujui ni kuwa hata Samia anapochukuwa ATC na kusafiri nayo ni kama amekodi kwa sababu ile siyo ndege yake.
 
Unajua maana ya discount?
 
Au isije ikawa sabotage? Maana wabongo hatushindwi na kitu
Mkuu hatuwezi chochote zaidi ya kuiba kura!!!

Mwendo kasi kujifia nayo ni sabotage???

Uzembe wa Maji kupenya chini ya msingi wa tuta la bwawa la Nyerere ni sabotage???

Safari ya SGR ya kwenda Morogoro toka tutangaziwe ingekuwa tayari kufikia Novemba 2019 kutotimia mpaka leo nayo ni sabotage???
 
Kwani sasa hivi katika awamu hii inayojiita ya sita, vyombo vya habari vinayajadili maswala ya namna hiyo? Tofauti yake ni nini?
Mkuu elimu ya uraia inapanuka, barafu ya ujinga inayeyuka, wananchi wanafungua zaidi kimawazo na kimtazamo!
 
Kwanini asipande ndege za kawaida kama anavyofanya Rais wa Zambia?
 
Hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaa. Lazima alikuwa hajui kuwa Kenya wana Kenya Airways ambayo kiukweli iko mbali sana kuliko anavyojua yeye.
 
Ruto alikuwa sahihi kusafiri na Ndege ya kukodi

Kenya Ndege zao zinaua viongozi mawaziri,Mkuu wa majeshi zonaanguka hovyo na kuua

Hata ningekuwa Mimi singepanda
 
Aliogopa ukungu angani
 
Shujaa wako we shoga, lile lihutu lilikuwa baguzi, baguzi, liuaji, aligawa nchi. Mfuate akhera bwege we. Ndege imekodishwa amechangia mamako? Vimaskinu havinaga ht haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…