Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Ni Singida Tena

IMG-20260627-WA0004.jpg

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

📆 27 Juni, 2026.
🕰️4:00 Asubuhi
 
MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA WILAYANI IKUNGI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Juni 27, 2026 amewasili mkoani Singida kuendelea na ziara yake ya kikazi, ambapo atahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Msingi Puma, wilayani Ikungi, ataweka jiwe la msingi la jengo la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Tawi la Singida, na baadaye atahutubia mkutano mwingine wa hadhara katika Uwanja wa Maonesho wa Sabasaba, Mandewa.
 
Attachments

  • VID-20260627-WA0031.mp4
    23.5 MB

well done wananchi wa Ikungi,

kila la kheri PM Dr Mwigulu Nchemba 🔥
 
Mkuu mikutano si imepigwa marufuku au?
Yes,
mikutano ya mpipasho, uchochezi , uropkaji na matusi ya kisiasa ya wale wote wasio na dhamana ya umma imezuiwa gentleman.

watendaji wa umma na wenye dhamana za wananchi wanasonga mbele tu kama kawaida na kwa mujibu wa sheria 🐒
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Yes,
mikutano ya mpipasho, uchochezi , uropkaji na matusi ya kisiasa ya wale wote wasio na dhamana ya umma imezuiwa gentleman.

watendaji wa umma na wenye dhamana za wananchi wanasonga mbele tu kama kawaida na kwa mujibu wa sheria 🐒
Nahisi Kama unaongeaga kama unakata viuno hivi au nakusingizia chawa mkuu?
 
Badilika ongea ukiwa umetulia tukuelewe
waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba yupo Ikungi kwa ziara ya kikazi.

Mapokezi yake ni makubwa, na yanaashiria uwajibikaji na kukubalika kwa utendaji wa viwango wa waziri mkuu.

God bless Dr Mwigulu Nchemba, God bless good people of Ikungi 🐒
 
Huyo sio waziri mkuu, alichaguliwa na nani kuwa mbunge hadi awe waziri mkuu?
We mbwa ulitaka umchague wewe, mlikimbia uchaguzi watanzania walifanya uchaguzi km kawa! Chadema kauli zao ni km za wavuta bangi wa chuga
 
Back
Top Bottom