Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA WILAYANI IKUNGI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Juni 27, 2026 amewasili mkoani Singida kuendelea na ziara yake ya kikazi, ambapo atahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Msingi Puma, wilayani Ikungi, ataweka jiwe la msingi la jengo la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Tawi la Singida, na baadaye atahutubia mkutano mwingine wa hadhara katika Uwanja wa Maonesho wa Sabasaba, Mandewa.
Hii amri ya katambi haimuhusu?
 
Kwanza mimi sio mbwa, maana mbwa hawezi kuwepo jukwaani hapa akafahamu kuwa hakukua na uchaguzi bali mauaji.
ulitaka umchague wewe,
Hakuna aliyemchagua kama ushahidi unao weka hapa, kanuni zinasema matokeo ya uchaguzi yanatakiwa kuwa uploaded kwenyw website ya tume haya nakupa jukumu nenda kaangalie katika website kama utakuta hayo matokeo.
mlikimbia uchaguzi watanzania walifanya uchaguzi km kawa!
Unashiriki vipi mchezo ambao referee anatoka katika bodi ya timu mojawapo shiriki?

Waliokimbia hicho unachoita uchaguzi walikimbia kwa sababu gani , mbona hukuzitaja?
Chadema kauli zao ni km za wavuta bangi wa chuga
Wavuta bangi wana kauli gani? mbona wapo wavuta bangi hadi ofisi kubwa zinazoheshimika duniani na zinaendeshwa vizuri tu.

Hujui pia bangi ni tiba, ? kajielimishe matoke ya Tetrahyrocannabinol iliyopo kwenye bangi kimatibabu ina kazi zipi.
 
ok,
tuliza mihemko nonsense basi ikiwa huna point na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Kwanza mimi sio mbwa, maana mbwa hawezi kuwepo jukwaani hapa akafahamu kuwa hakukua na uchaguzi bali mauaji.

Hakuna aliyemchagua kama ushahidi unao weka hapa, kanuni zinasema matokeo ya uchaguzi yanatakiwa kuwa uploaded kwenyw website ya tume haya nakupa jukumu nenda kaangalie katika website kama utakuta hayo matokeo.

Unashiriki vipi mchezo ambao referee anatoka katika bodi ya timu mojawapo shiriki?

Waliokimbia hicho unachoita uchaguzi walikimbia kwa sababu gani , mbona hukuzitaja?

Wavuta bangi wana kauli gani? mbona wapo wavuta bangi hadi ofisi kubwa zinazoheshimika duniani na zinaendeshwa vizuri tu.

Hujui pia bangi ni tiba, ? kajielimishe matoke ya Tetrahyrocannabinol iliyopo kwenye bangi kimatibabu ina kazi zipi.
Sasa lofa km wewe usiyejua km kuna mbwa wenye miguu 2 utaelewa nini
 
waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba yupo Ikungi kwa ziara ya kikazi.

Mapokezi yake ni makubwa, na yanaashiria uwajibikaji na kukubalika kwa utendaji wa viwango wa waziri mkuu.

God bless Dr Mwigulu Nchemba, God bless good people of Ikungi 🐒
Hatuna kitu kinaitwa waziri mkuu ningesikia Majaliwa kasim ningekuelewa achana na vibaka hao hawakuchaguliwa zaidi walisababisha mauwaji ya kimbali Kisha wakagawana uongozi wa nchi Kama njugu
 
Ni Singida Tena

View attachment 3616652​

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

📆 27 Juni, 2026.
🕰️4:00 Asubuhi
Kwa kweli Mwigulu kazi anafanya. Na nachokipenda hadi ofisi yake wale waandamizi wamejipangq kisawasawa. Well done and goodluck.
NB: Kuna mtu kwenye team anapenda kuvaa vizibau na tai, (Mungu pamoja nasi) very polite, cool& calm, kuna mwananchi hapa Sumbawanga Rukwa anapenda kama nini male masharubu yake, yani kafa kaoza.
 
Back
Top Bottom