Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mbona tunakuwaga makini na EAC huku Kenya mnaishia kulalamika. Dili nyingi za EAC zilizoletwa na Kenya zinakuwa kwa faida ya Kenya, tukizikataa kwa nini? maneno yanakuwa mengi kuliko ueleweshaji. China na Tanzania wana uhusiano unaoitwa "ALL WEATHER". (usha kuusikia?)
Mkuu pamoja na mapungufu ya wenzetu ya hapa na pale lakini wakati mwingine sisi kama Taifa tunapashwa kuchukulia ushauri wa Wakenya Seriously - MK254 kwa mfano: amesema siku hizi hakuna cha mahusiano ya kindugu au nini sijui, wawekezaji wanacho tafuta ni kupata faida kubwa na hii hajalishi kama muwekezaji ni Mchina au Mzungu, cha muhimu ni wewe kuji-tune jinsi ya kudeal na muwekezaji ili hasikuzidi akili, kinacho hitajika ni kuweka mizingira ya win win situation at all times.