Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

Vipi kuhusu ziara za Makalla na Nchimbi?
Zinaendelea vizuri sana na zimekuwa na tija kubwa sana kwa wananchi,kwa kuwa wananchi wanapata kusikia kile walicho na kiu nacho na kupewa majibu stahiki yenye kukata kiu yao. Ndio maana unaona watu wamekuwa wakifurika sana kwenye mikutano ya CCM wakiwa na nyuso za tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana.
 
Ukubali au ukatae lakini ukweli ndio huo kuwa ziara za Lissu hazina Tija yoyote ile.inajichosha tu akili na mwili.

Punguani katika ubora wako. Kama ziara zake hazina tija, shangilia, furahia na uombee aendelee hivyo hivyo. Ya nini kupiga kelele za wehu?

Fanya kazi, kuliko kuishi kwa kutegemea idadi ya posts za kipunguani unazozileta jF.
 
Unahitaji ushauri wa kisaikolojia maana kama hujasoma na unaita umbeya, unakuwa unaonyesha namna ulivyo na tatizo kubwa sana kichwani mwako.
Kumbe unajijua kuwa una tatizo kichwani, basi tiba itaingia haraka. Maana usiku, hulali unawaza pakuche uje uandike migazeti, isiyo na kichwa wala miguu. Tafuta tiba hujachelewa.
 
Kumbe unajijua kuwa una tatizo kichwani, basi tiba itaingia haraka. Maana usiku, hulali unawaza pakuche uje uandike migazeti, isiyo na kochwa wala miguu. Tafuta tiba hujachelewa.
Narudia kusema tena kuwa unatatizo kubwa sana kichwani mwako. Unahitaji kuonana na daktari haraka sana iwezekanavyo.
 
Ka
Kama hazina tija wewe juha chakuwasha Nini si utulize kijambio Chadema iendelee kukosa tija
 
Punguani katika ubora wako. Kama ziara zake hazina tija, shangilia, furahia na uombee aendelee hivyo hivyo. Ya nini kupiga kelele za wehu?

Fanya kazi, kuliko kuishi kwa kutegemea idadi ya posts za kipunguani unazozileta jF.
Kazi nafanya na wala Sikai vibarazani kupiga porojo na umbeya kama WEWE.
 
endelea kubwabwaja na kujaza kurasa na kurasa humu lakini jua kwamba
1. wakurugenzi wa uchaguzi huko HALMASHAURI ni watumishi lakini ni makada wakubwa wa ccm naweza kuthibitisha
2. chama chako kinakusanya kadi za wapiga kura ili kikawatengenezee kadi za kielectronic za ccm na kwamba zile za wapiga kura huwa hazirudishwi. naweza thibitisha toka kata moja huko kawe
haya yanafanywa huku mkiwaminisha waliowajinga kwamba chama fulani kimekufa dada lucy
 
Ka

Kama hazina tija wewe juha chakuwasha Nini si utulize kijambio Chadema iendelee kukosa tija
CHADEMA Inaendelea kupuuzwa tu .ndio maana huoni hata wanachama wapya wakijiunga CHADEMA.maana wanajuwa ni chama cha kibabaishaji tu.
 
Usifikiri kila mtu ni mvuta bangi.
Luca,

Sema mimi nakukubali sana. Wewe ni jeshi la Mtu mmoja. Mbali na watu wengi kutompenda na wanaokupinga lakini hukuwahi kukata tamaa.

Unapaswa uweke online poll ili kuwathibitishia unayoyasema kwamba samia ni kimbilio la wengi. Tuanze kufanya survey hapa kwa watu wa jamii forums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ