Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA


View: https://youtu.be/OLCXROQqq0Q?si=mBEnj8iwVMFGpF6v
 
hilo la mwisho kwako ndiyo linalosababisha uone hakuna hoja
 
Narudia kusema tena kuwa unatatizo kubwa sana kichwani mwako. Unahitaji kuonana na daktari haraka sana iwezekanavyo.
Kichaa huona wengine pia, ni vichaa wenzake. Nakushauri muone mtaalamu wa akili. Haya unayofanya, inaonyesha wazi dishi limeyumba.
 
Kama wewe Lucas unajadili Ziara za Tundu Antipas Lisu badala ya zile za komredi Makalla maana yake Lisu anafanikiwa Sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Makalla mwenyewe kwenye ziara zake anamuongelea Lissu na Chadema,anachoweza ni kuvimbisha yale mashavu yake kama paka wa kwenye bar.
 
Wewe BUMUNDA ni mpiga kampeni wa dalali wa raslimali zetu siku si nyungi utaingia ndani ya 18 za wapigania uhuru tu!
 
Wewe BUMUNDA ni mpiga kampeni wa dalali wa raslimali zetu siku si nyungi utaingia ndani ya 18 za wapigania uhuru tu!
Unamtisha nani? Ndio akili yako hiyo? Ninyi ni wasaka Tonge kwaajili ya matumbo yenu. Ndio maana mnatafuna sana michango huko CHADEMA.Embu niambie pesa za Join the chain zipo wapi?
 
kwakweli mikutano yake ni doro mno....

naona anachochea migawanyiko tu ndani ya chama chake,

kwasabb chama chake kikiamua na kuidhinisha kufanya mikutano maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo kule alikokwisha kufanya mikutano yake binafsi, itaonekana hakua na impact yoyote na atafura zaidi na kukasirika zaidi πŸ’
 
Lissu Anaendelea kuipasua na kuigawa CHADEMA kila uchwao. Eti anashangaa ni vipi chama kilimpokea Nyarandu. Mdomo wa Lissu haunaga Breki.
 

Duuh, mmeelemewa sana aisee.

Spana za Tundu Lissu zimeshawachanganya kiasi kwamba Lumumba yote mmepteana hata umesahau kuwa Paul Makonda anaendelea na maigizo kuibua uozo wa sera mbovu za CCM.

Na umesahau kabisa kuwa Katibu Mkuu wako Emmanuel Nchimbi na mwenezi wake Makalla nao wangendelea na mikutano ya kujaribu kuifufua CCM iliyokwisha kufa, ikaoza na kuanza kunuka..!!

Na ajabu nyingine ya mwaka ni kuwa, mafisi (CCM) kama wewe Lucas Mwashambwa eti yanaweza kushauri mbuzi na kondoo mahali pa kuchungia na pa kulala!

Hao mbuzi na kondoo bila shaka watakuwa wajinga na hawajielewi kabisa.p!!!!

Poleni chawa wa mama a.k.a Mama Abdul!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…