Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

🤣🤣🤣🤣
Umekuwa na akili za kusifia ujinga tu. Yaani akili uliyopewa na muumba wako umeamua kuisaliti kwa dau la buku 7 daily
Ni fahari na heshima kubwa sana kwa kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua kumuunga mkono Rais Samia, CCM na serikali yake.maana katika njia hiyo unakuwa umelilinda na kuliweka Taifa letu katika mikono salama ya utulivu na amani. Tofauti na vyama kama CHADEMA ambavyo uchaguzi tu wa kanda unawaacha wakiwa wamepasuka na kugawanyika kama tulivyoshuhudia kanda ya Nyasa. CHADEMA ni wachumia tumbo na waroho wa madaraka
 
Unavyoandika na kuishambulia CHADEMA utafikiri Ndio Chama Tawala vile.Kwa siku umetaja Chadema Mara 10 CCM Mara 2

Lisu umemtaja Mara 7
Samia umemtaja Mara 3😂😂😂

Kichwa kitakuuma Mwaka huu kaka
 
Sasa waambie hao ndugu zako wabweteke halafu watakiona cha mtema kuni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu
 
Sasa waambie hao ndugu zako wabweteke halafu watakiona cha mtema kuni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu
CCM itashinda kwa kishindo sana uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu hapo Mwakani. Hii ni kutokana na utekelezaji mzuri wa ilani yake pamoja na usikivu wake na kuwa karibu na wananchi.
 
Kachukue buku 7 yako.
 
Punguani katika ubora wako. Kama ziara zake hazina tija, shangilia, furahia na uombee aendelee hivyo hivyo. Ya nini kupiga kelele za wehu?

Fanya kazi, kuliko kuishi kwa kutegemea idadi ya posts za kipunguani unazozileta jF.
Nashauri Lissu awe na hotuba mchanganyiko Sera, matukio na .....
 
Punguza Ujinga boss Ziara za LISSU zingekuwa hazina Tija hata wewe usingeandika leo
Pia CCM na SERIKALI kupitia POLISI WASINGEWANYIMA VIWANJA VYA MIKUTANO
Jiulize kwanini wanawanyima VIWANJA?
 
Japo napinga sana mabandiko yako, kuna ukweli fulani katika hoja hii. Ile dhana ya collective responsibility kwake haipo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…