Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Wasalaam Tanzania.

Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.

Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k

Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao wamekuwa wakisema ni kuanzia mwaka wa 2021, hii maana yake ni nini?

Je, ni kweli Magufuli aliyadhibiti mambo haya ya wananchi kunyanyasika na baada tu ya yeye kuondoka mambo yalirudi ya kunyanyasana?
 
Hilo mbona liko wazi tu.tmerudi kule kule kwa linaniliu
 
Wasalaam Tanzania.

Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.

Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k

Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao wamekuwa wakisema ni kuanzia mwaka wa 2021, hii maana yake ni nini?

Je, ni kweli Magufuli aliyadhibiti mambo haya ya wananchi kunyanyasika na baada tu ya yeye kuondoka mambo yalirudi ya kunyanyasana?
Hay mambo yapo tangu enzi za mwalimu

Ni kawaida… hata enzi za jakaya kuna wakati mzee kinana alizunguka nchini kulipa joto ccm

Enzi za magu aliku anazunguka mwenyewe

Hakuna jipya
 
Back
Top Bottom