Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

nashanagaa zizzou master unamlinganisha na mtu mwenye dani moja

Unajua watu wanazungumza kiushabiki sana, na ukiona mtu anakimbilia statistics ujue hana uhalisia wa wahusika.

Mimi nimeanza kuangalia mpira miaka ya 1997, mara ya kwanza kumwona Zizzou ni World Cup 1998, alipewa red card kwenye makundi, timu ilisua sua sana, mpaka alivyorudi na kuwaua kina Ronaldo ambao walikuwa moto, si kidogo. Mpaka tukasema Ronaldo amerogwa kifafa.
 
Ile mechi ukiangalia wachezaji Wa ufaransa walikuwa wakipata mpira hawaoni pa kupeleka maana wabrazil walikuwa mafundi ikawa wanampa zidane ndie anapandisha timu

Bila kusahau kwamba Spain alikalishwa huku akiwa na watu kama kina Raul, moto moto.
 
Hii sio kigezo, kwani mchezaji asipo hama team hata kuwa bora
 
Huo ndo ukweli mkuu,ukubali ukatae ukweli utabaki ukweli tu

Sasa mkuu. Wewe na wanaolijua soka tumsikilize nani? Na statistics zote zinajionyesha Messi yupo juu zaidi ya player yoyote unaemjua. Zidane namkubali lakini sio usemavyo wewe. Na zidane yupo top 5 ukilinganisha na wakina gaucho iniesta na de lima ambao hawapo hata 10ya greatest players of all time

Kubali usikubali King Messi hafananishwi tokea soka lianze kuchezwa hapa ulimwenguni. Namhurumia sana anaemchukia messi,,,end of the day atapata madonda ya tumbo.
 
Mimi niliangalia world cup ya 1990 wakati huo ni enzi ya kina peter shilton,Gary linekar,kina careca,Kina Dunga<kina Roger milla,Kina Thomas Nkono,Maradona,na weeengi ila Zizzou is the Best
 
World Cup 1998 Final France Vs Brazil:

Weka mpira tupa maneno!

Ha ha ha haa niliicheki iyo mkuu.ni noma aise. Aliwanyanyasa kishenzi,,,wakina gaucho walipipwa kanzu kinoma na haijatokea kupigwa kanzu kama ambavyo kawafanya hao watoto 😀
 
Mimi niliangalia world cup ya 1990 wakati huo ni enzi ya kina peter shilton,Gary linekar,kina careca,Kina Dunga<kina Roger milla,Kina Thomas Nkono,Maradona,na weeengi ila Zizzou is the Best

Maradona nilimwona world cup ya 2004 USA, hakufanya maajabu sana kipindi kile.

Nakumbuka Final ya Brazil vs Italy ambayo Roberto Baggio anakosa penalty, kina Cafu, Dunga, Bebeto na wenzake hakuna wa kumlinganisha na Zizzou kwa kizazi chetu hiki.

Ningetamani kusema Dinho aliweza kuni-impress zaidi lakini Zizzou had the longevity kwenye game, was a decider kwenye game ngumu.
 
Mkuu hata kama hukucheza mpira wa makaratasi umetizma mpira.Ziziou amedumu,Dinho aliwika kwa mda mfupi saana kama kina kinston Romario.
 
Ubora wa zizzou Zaidi ya Xavi sijui una maananisha nini? Maana hizo statistics zinaonesha kuwa Xavi yupo juu ya Zidane.

mpira unachanganya mashabiki kuliko hata wachezaji wenyewe. vigezo vya ubora kwenye mpira hubadilika badilika ilimradi tu kumfaa anayetakiwa. leo dunia nzima inaamini ronaldo anaenda kuchukuwa ballon d'or mwakani kutokana na kuipatia timu yake CL,lakini mwaka 2008 iniesta alifanya zaidi ya hapo lakini bado akaishia kuwa nafasi ya tatu. Ubora wa mchezaji utabaki kuwa machoni mwa watizamaji tu lakini kwa wenzetu ni biashara. mie kwangu Messi ndio mchezaji bora kabisa tokea kuumbwa kwa dunia.
 
Mkuu hata kama hukucheza mpira wa makaratasi umetizma mpira.Ziziou amedumu,Dinho aliwika kwa mda mfupi saana kama kina kinston Romario.

Na hicho ndo moja ya vitu ambavyo Dinho kafeli, longevity.

Dinho could have been my all time best footballer and entertainer too, ila starehe na kutokuwa serious vimetunyima burudani.
 
kuna mahusiano gani kati ya Baloon d or na fainali? hapo juu tumezungumzia uwezo wa kumaliza fainali.
Owk sawa mkuu hayo magoli 8 ya Inzaghi amejumlisha Uefa, Uefa super cup na Fifa club world cup....sasa hebu tumuangalie Messi

UEFA finals 2 goals
UEFA supercup 3 goals
Fifa Clubworldcup 4 goals
Total 9 goals, nadhani hoja ya Inzaghi tuizime hapa..

Pia ukitaka kuongeza
SuperCup 11 goals
Copa de larey 4 goals

So inshort Messi ana total of 24 goals in Finals....haya hebu mlete huyo Inzaghi wako, lakini naamini uliongea kwa mihemko
 
Messi anagoli 9 za fainali kama alizocheza Inzaghi
 
statistics zipi?
-xavi ana baloon d or ngapi?
-xavi ame dictate fainali ngapi?
-xavi kafikisha goli 144? (nimeeka link mtoa mada amedanganya idadi ya magoli ya zidane)
-xavi kawa player of tournament ngapi?
Statistics zishawekwa mwanzoni wa Uzi, sijajua unabisha nini.....kama unazako zilete hapa
 
NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Zizzou machine ingine,messi cristiano hawamfiikii.Zizzou anabadilisha game kabisa
 
Zidane ana uwezo mkubwa sana, mercy hamfikii kabisa, wala ronaldo wa ureno.
enzi zake alikuwa anamfuata kwa nyuma ronadinyo...ambaye sijaona mpira mzuri kama wa yule jamaa hadi sasa.
Mihemko hii sasa....Zidane Uwezo wake haujafika hata robo ya Messi.....Zidane tunamuweka daraja moja na Iniesta au Xavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…