Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
nashanagaa zizzou master unamlinganisha na mtu mwenye dani moja
Unajua watu wanazungumza kiushabiki sana, na ukiona mtu anakimbilia statistics ujue hana uhalisia wa wahusika.
Mimi nimeanza kuangalia mpira miaka ya 1997, mara ya kwanza kumwona Zizzou ni World Cup 1998, alipewa red card kwenye makundi, timu ilisua sua sana, mpaka alivyorudi na kuwaua kina Ronaldo ambao walikuwa moto, si kidogo. Mpaka tukasema Ronaldo amerogwa kifafa.