Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
NUMBERS DONT LIE
ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11
XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28
#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Wacha bwana kipindi hicho kwa hisani ya TVZ. Ni fainali ambayo mambo ya LIBERO yalitokelezea kwa sana haswaa shughuli aliyokuwa akiifanya LOTHAR MATHEUS wa WEST GERMANY MASHINE! Argentina ikicheza tofauti kabisa na mwaka 1986 ikija na sytle ya kupaki basi ila wabrazil walilia sana walivyolizwa na kombinesheni ya CANIGIA na Maradona dakika za robo ya mwisho ingawa SAMBA ilipigwa zaidi ya asilimia 80. Mwisho ni uamuzi wa mpiga penalti mashuhuri ANDREAS BREHME wa W. Germany dhidi ya golikipa nguli mwenye macho ya mwewe ya kuokoa penalti wa Argentina GOYCOCHEA.
Msimfananishe hata kidogo hawa akina Messi na Ronaldo na Kizazi cha Pele au Maradona. Sana sana vita itakuwa nani zaidi kati ya PELE na MARADONA.
Kipindi hicho kilikuwa hakuna 'protection' kwa mastaa watu walikuwa WANAKULA MIWA HASWAA. Siku ukutane na URUGUAY hiiii hiii la UAKIKA kwanza unajua watabakia SABA uwanjani. Lakini Maradona alikuwa anakimbiza humo humo pamoja na KULIWA MIWA.
Haaa...kwa Messi hajaenda nje ya Barcelona but ni habari nyingine kila mtu anajua...Xavi wasnt better than Zizou,ubora unaonekana hata ukihama timu moja kwenda timu nyingine.Xavi ameenda timu ipi nyingine akaproove bado ni bora?Diego folan kuna Man U alichemsha.Angalia Claude makelele hata alipohama Real kwenda Chelsea alifanya kazi yake ile ile.Zizou was the best!
Zidane alikuwa bora xavi mfananishe na kina lampard, ballack huko
mwaka ule wa 98 kila mtu zidne wa ufaransa hadi kina mama wakapenda mpira duhh zizzou huyuExactly my point, pia impact anayosababisha mtu kwa fans, followers ni kubwa zaidi, Zizzou ka-inspire wengi kuupenda mpira, hata ambao siyo washabiki wa mpira wanamjua Zizzou, Xavi ni mpaka uwe mshabiki kumfahamu.
imebidi nichkee tuuuuumlioanza kuangalia mpira miaka ya 2005 kuendelea wasumbufu sana
Naomba mjadala ufungwe hapa. Umemaliza kila kitu hapa.unataka namba?
-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)
UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia
-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu
-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu
-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe
1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali
2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro
3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup
4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.
kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.
sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.
jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.
xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.
hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.
na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc
kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
mwaka ule wa 98 kila mtu zidne wa ufaransa hadi kina mama wakapenda mpira duhh zizzou huyu
Kuna ligi ambazo ni ngumu na ligi laini mkuu,Tafakari.Haaa...kwa Messi hajaenda nje ya Barcelona but ni habari nyingine kila mtu anajua...
Zidane is the best
Now am talking to someone who watched soccer at its Best.Baada ya hao watu ndio kina Zizou watoto wa jana wanazungumzia soccer leo,mchezaji akiguswa anajidondosha eti wanalindwa.Usenge mtupu.Wacha bwana kipindi hicho kwa hisani ya TVZ. Ni fainali ambayo mambo ya LIBERO yalitokelezea kwa sana haswaa shughuli aliyokuwa akiifanya LOTHAR MATHEUS wa WEST GERMANY MASHINE! Argentina ikicheza tofauti kabisa na mwaka 1986 ikija na sytle ya kupaki basi ila wabrazil walilia sana walivyolizwa na kombinesheni ya CANIGIA na Maradona dakika za robo ya mwisho ingawa SAMBA ilipigwa zaidi ya asilimia 80. Mwisho ni uamuzi wa mpiga penalti mashuhuri ANDREAS BREHME wa W. Germany dhidi ya golikipa nguli mwenye macho ya mwewe ya kuokoa penalti wa Argentina GOYCOCHEA.
Msimfananishe hata kidogo hawa akina Messi na Ronaldo na Kizazi cha Pele au Maradona. Sana sana vita itakuwa nani zaidi kati ya PELE na MARADONA.
Kipindi hicho kilikuwa hakuna 'protection' kwa mastaa watu walikuwa WANAKULA MIWA HASWAA. Siku ukutane na URUGUAY hiiii hiii la UAKIKA kwanza unajua watabakia SABA uwanjani. Lakini Maradona alikuwa anakimbiza humo humo pamoja na KULIWA MIWA.
Umeanza kuangalia mpira lini?kuna ligi ni laini na ligi ni ngumu kijana.Ili uwe bora lazima uonekane kwenye ligi tofauti uwe na watu tofauti kwenye combination,uonyeshe kuibeba timu.Ujimga wako wakusoma mwanaspoti,bingwa na kuenda vibanda umiza usiulete humu.Kwahyo point yako ya kumsupport zidane ni kuhama timu au sio ..... rekebisha hapo kwanza au utuambie kwamba zidane ni bora kwasabab kahama(tuthibitishe ujinga wako) ndio tuendelee ... NI HOJA YA KIJINGA HYO NA IMENIKWAZA SANA YAN .
5.Hussein Aman Masha - Tz ( Ingawa hafahamiki huko duniani ila mimi nilimuelewa sana those days )
6.Edibily Jonas Lunyamila ( Nitaendelea kumuelewa mpaka kesho hata kama hafahamiki huko duniani)