Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

Kuna vijiwe vingi vikubwa vya kahawa posta , mnazi moja pia karume na kwingine kuna wakati ktika stori unajikuta umezungumza vibaya kuhusu serikali maybe kupinga ongezeko la kodi kwwny bidhaa, au kuadimika kwa dolla na kadhalika je? Mmi mzungumzaji nipo katika hatari kwa kuwahofia usalama au usalama hawa deal na mambo hayo
 
Yaani watu wanaohatarisha maisha yao kwa ajili yenu kila siku ili kuhakikisha kuwa wewe uko salama siku zote na unalala usingizi wa pono, mnawaita nyoka wakati nyoka ni yule wanayemzuia asikudduru wewe! Thisi is very stupid
Kabla hujaita watu stupid, jielimishe kidogo



Ndio jina lao la kazi
 
Naomba kutoka nje ya mada mkuu, unakumbuka sakata la Marehemu kaka yako Bernard, ulisema yule daktari aliyejifanya ni wa familia humtambui na familia haimjui,Vipi kama familia mlikuja kujua nini kilimuua Bernard?
 
Labda uwaogope CHAWA sio TISS. Tena ukihisi aliyekaribu yako ni TISS basi mshirikishe kwenye mazungumzo.
 
Sitak huu mjadala uwe mrefu Sana ila kuhusu swala la undugu nililoandika pale juu ni kaka yake halisi, sio maigizo kama unavyofikr sasa kwasabab humu hatufahamiani acha niishie kusema hvyo ila Kwa muda wako ikague account Yako Kisha Kagua account yake utajua utofaut wa yeye na ww.
 
Mkuu funga mjadala kama ulivyosema. Tunashindwa kuendelea wakati mwingine ni kwasababu tunajadili WATU baada ya kujadili HOJA. Udugu wangu na mtu yeyote hauna uhusiano na bandiko langu, nilitegemea watu wajadili hoja zilizomo, sio vinginevyo.
 
Mkuu funga mjadala kama ulivyosema. Tunashindwa kuendelea wakati mwingine ni kwasababu tunajadili WATU baada ya kujadili HOJA. Udugu wangu na mtu yeyote hauna uhusiano na bandiko langu, nilitegemea watu wajadili hoja zilizomo, sio vinginevyo.
Ni kweli kabisa ndio maana nimeona nimalizane naye Kwa amani kila mtu abaki na anachojua tusianze Tena kuulizana kwani wewe wa wapi n.k
 
Naona kuna watu wanalalamika kuwa kwanini dola ilindwe sio sisi raia.

Dola inajumuisha vyote hivyo na wewe mlala hoi ukiwemo.

Majukumu makubwa na hatari wanayoyafanya hawa jamaa Kwa msaada wa Mungu huko nyuma ya pazia pengine ndio maana taifa hili lina huu utulivu unaouona Leo.

Mambo Mengine ni kawaida, yanatokea kwenye taifa lolote duniani.
 
Hilo la kwamba wote ni komandoo naona kapotosha umma.
 
Unatenganishaje psu na tiss?psu ni sehemu ya tiss hapo ni mgawanyo wa majukumu ndani ya tiss kupitia vitengo mbalimbali ikiwemo hili la psu

Hakuna namna yoyote ya kumtoa psu ndani ya tiss
Kwa ufupi ni kwamba watumishi wote wa PSU ni TISS
 
Naomba kutoka nje ya mada mkuu, unakumbuka sakata la Marehemu kaka yako Bernard, ulisema yule daktari aliyejifanya ni wa familia humtambui na familia haimjui,Vipi kama familia mlikuja kujua nini kilimuua Bernard?
Mara nyingi sitokagi nje ya mada. Lakini pia sipendi kukwepa swali ambalo jibu lake ninalo. Kifo cha kaka yangu kinabaki kwenye orodha ya vifo vingine vingi ambavyo chanzo chake hakifahamiki na hakuna uchunguzi unaoendelea ambao mimi naufahamu. Sitopenda niendelee kuliongelea hili zaidi ya nilichaondika hapa kwani sitobadirisha chochote zaidi ya kuinyima amani nafsi yangu, hivyo basi turudi kwenye mada. Tuelimishe na kuelimishana, maisha ni kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…