Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Naungana na wewe,ni hajabu sana mtu anapendekeza aitwe mbwa ni hukosefu wa akiliSitothubutu kukuita jina ulilotaka tukuite. Nakuita Makari Hodari tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na wewe,ni hajabu sana mtu anapendekeza aitwe mbwa ni hukosefu wa akiliSitothubutu kukuita jina ulilotaka tukuite. Nakuita Makari Hodari tu.
Sijasema najua kila kitu. Nikuhakikishie tu kwamba sujui kwamba mikataba mibovu inatengenezwa na TISS. Kama wewe unalijuwa tuambie kwa mapana tujuwe na tuelimike, ikiwezekana njoo na mifano ya mikataba iliyotengenezwa na TISS.Duuu huna ujuacho na inawezekana hata kazi za kibalozo huzijui ndani ya tiss matumiz yake
Kabisa kabisa
Uchumi upo ndani ya idara miaka 30 ijayo tufanye nini tufikie azma flan
hakuna tatizo.Mi nijuavyo hao kenge wote ni kitu au mtu mmoja tofaut ni lugha tu yaani shushishi ndo informer hawa kimtaan pia wanaitwa vipenyo sijui hawa ni wakusanya taarifa na wanazipeleka kwa kit3ngo husika zikachakatwe tayar kwa matumizi
Unejiko hivi
Mkurugenzi wa idara ya usalama chini yake kuna hao psu
Ni kwamba psu wanawajibika kwa mkurugenzi wa idara
Ndio mana hata makazi ya psu yapo ndani ya makzi ya idara ya usalama ambapo hukuti polis wala jw pale ila psu wapo kwa sababu ya muunganiko na asili yao
Upatikanaji wao mafunzo yao wanapikwa pamoja mbele ndo wanatenganishwa kulingana na majukumi
Ni kama ccp mafunzo yao mwishoni ndo wanatenganishwa we utakuwa trafik ffu special unit, upelelezi nk
Ukijuwa kwa upana maana ya Intelligence na application zake katika usalama wa nchi utajuwa utofauti wa kumlinda rais na kulinda Dola. Vilevile ujuwe kwamba UTOFAUTI WA KIKAZI haina maana ya UTOFAUTI WA KIMUUNDO AU USHIRIKA. Ukishayajuwa hayo utajuwa kwamba PSU sio TISS ingawa TISS ina PSU ndani.iko hivi
Mkurugenzi wa idara ya usalama chini yake kuna hao psu
Ni kwamba psu wanawajibika kwa mkurugenzi wa idara
Ndio mana hata makazi ya psu yapo ndani ya makzi ya idara ya usalama ambapo hukuti polis wala jw pale ila psu wapo kwa sababu ya muunganiko na asili yao
Upatikanaji wao mafunzo yao wanapikwa pamoja mbele ndo wanatenganishwa kulingana na majukumi
Ni kama ccp mafunzo yao mwishoni ndo wanatenganishwa we utakuwa trafik ffu special unit, upelelezi nk
Chosen from God? Like seriously?Vijana bana! 😂 hapo usikute anajidanganya wale wanaokuwaga kwenye misafar wanafaidi sanaaaa! Au wana mapesa sanaaaa! Au kuna watu anataka awavimbie, awalipe visasi au wamuogope... Wacha upumbavu! Hao watu ni Choosen from god!
Haipatikani hiyo status kizembezembe! Concentrate na mambo mengine
Kwa elimu yangu ya darasa la 2 mlaji wa taarifa za kijasusi si rais pekee note that kuna mambo mengi rais mwenyewe hayajui na yanafanyiwa au yalishafanyiwa maamuzi na hawa jamaa.Wakikuambia wanachofanya na namna wanavyofanya basi juwa wewe ni (a) mmoja wao, (b) rais wa nchi au boss wao (c) wamefanya editing wakakufungashia uongo uutumie kutengenezea movie pasipo kukupa mbinu zao halisi au (d) anayekuambia alishaacha hiyo kazi na anakupa product ambayo iko expired. Ukiwa nje unachoweza kujua ni hiki unachosema hata mtu wa form four anaweza kukijuwa.
When you know your limit then you know.
Jiunge UVCCM, 😂😂😂😂😂. Haha jokesNATAKA nijunge usalama nafanyaje kaka
Maswali yako ni muhimu sana. Majukumu ya TISS yamewekwa wazi kwenye mitandao ya serikali, nimesoma huko na kuchanganya na uelewa wangu na bado sijaona wapi TISS wamepewa jukumu la moja kwa moja la kulinda rasilimali za nchi. Naona jukumu lao ni kulinda DOLA. Tunaopiga kelele za Katiba mpya tukaonekana hatufai tulikusudia kuuandika tena "msahaf/bibilia" ya namna ya kuongoza nchi kadri tunavyotaka kulingana na mahitaji na matarajio yetu.Shida yangu ni moja tu, Kama TISS hawasaidii kulinda rasilimali za nchi, faida yao ni kwa WATAWALA wala Siyo faida kwa Watanzania.
Ndiyo sababu kila wakati unasisitiza WANALINDA DOLA!
Hawajishughulishi kuona ustawi wa Watanzania mmoja mmoja, wamewaachia wanasiasa kufanya maamuzi, wanasiasa wanajali matumbo yao. Na TISS hawaoni kwamba ni tatizo!
Samahani mkuu, na wale MI ni miongoni mwa TISS ama wao wana kitengo chao jeshini na sponsor wao sio Rais?Sw
Swali zuri, kama nilivyosema kwenye posts zangu za awali kwamba sikukusudia kufanya uchambuzi wa ufanisi wa TISS kwa namna yeyote badala yake kuweka wazi kazi na mipaka yake.
Nitoe angalizo tu kwamba mlaji au mtumiaji wa moja kwa moja wa shughuli au information za TISS ni rais na TISS yenyewe Tu. Hivyo umma hauna kipimo cha moja kwa moja cha ufanisi wa idara hii. Na uchambuzi wowote wa umma katika kupima ufanisi wa TISS paisipo "tukio la kitaifa la kiusalama" hautakuwa na maana wala mashiko.
nikijiita kikwete manake na mimi mnaweza amini ni mdogo wake au mwanae? Sio ishu sanaUko sahihi ila soma maswali yang vzr utaelewa kwann nimeuliza maana naona umekimbilia kusema nitapigwa unafikr mm Natumia mate kufikiri badala ya ubongo
pili unafaham kama kaka yake alikuwa ni mwanachama anayefahamika Kwa kiwango kikubwa Tena sio wa level ndogo,
tatu unafaham pia kama hizo nafas zinaendag pia kifamilia kwasb mwanafamilia Huwa anachunguzika kirahs toka akiwa mdgo
mwisho unajua ni kwanini Uzi wake haujapigwa burn nayeye mwenyew amekuwa mtoa majibu ya kila aina ya swali, na ni platinum member Tena verified what if amekuja pia Kwa kazi maalumu ya kubrain wash wa TZ juu ya dhana mbovu kuhus idara ?
usinijibu majibu Baki nayo mwenyew
Ukiona uchumi wa taifa unayumba aubkuimarikaSijasema najua kila kitu. Nikuhakikishie tu kwamba sujui kwamba mikataba mibovu inatengenezwa na TISS. Kama wewe unalijuwa tuambie kwa mapana tujuwe na tuelimike, ikiwezekana njoo na mifano ya mikataba iliyotengenezwa na TISS.
Ni weweUNA JUA MIMI NI NANI ?
Uingereza wana vitengo viwili; MI5 na MI6. Moja ni ya ndani na nyingine ni ya nje. Mimi ninadhani kuwa hata sisi tunacho pia kitengo cha ndani cha MI ambacho kinafanya kazi sawa na TISS. Jeshi ni lazima liwe na taarifa zote za TISS ili nchi iweze kuwa salamaMkuu Military intelligence ( MI) ni tofauti na TISS.
MI ni kitengo Cha upelelezi wa kijeshi ambacho kinatumika kupeleleza mambo ya kijeshi tu dhidi ya maadui wa kijeshi kuhusu yafuatayo:-
1. Uwezo wa adui kijeshi
2. Silaha za adui
3. Hali mazingira ya uwanja wa vita
4. Maeneo muhimu ya kimkakati ya kijeshi ya adui.
5. N.k
MI ni muhimu sana jeshini kwa kuwa ndiyo idara inayowawezesha makamanda wa vikosi kupanga vita na mashambulizi kwa adui kwa usahihi na taarifa sahihi.
Kwa masuala ya kiusalama ndani ya nchi TISS na MI hushirikiana kwa karibu ingawa ni matawi mawili tofauti ya kiusalama.
TISS ni kazi Yao ni kama ulivyoeleza.
Narudia, MI ipo ndani ya himaya ya TISS. Vinginevyo dola yeyeto haiwezi kudumu zaidi ya masaa 48.
Mimi ninahisi kuwa mfumo huo unaohusiana na kitengo unachokiongelea tayari upo incorporated kwenye mfumo mama wa TISS; kwa sababu naamini hiki kitengo hakikuaznsihwa tu kutoka hewani ila lazima kuna utafiti ulifanyika kwanza na kwa kuangalia mifumo ya mataifa mengine ilivyoWaanzilishi walisahau kuanzisha mfumo/kitengo "binafsi" cha kuratibu, kupanga na kusimamia maendeleo ya taifa zima kiujumla kwenye kila sekta, kuendana na mabadiliko ya kidunia na mataifa makubwa. Sababu usalama wa taifa hauna maana kubwa sana kama nchi haina maendeleo. Tuko salama, sawa. Lakini wananchi wanalia na wanakufa njaa.
Yaani watu wanaohatarisha maisha yao kwa ajili yenu kila siku ili kuhakikisha kuwa wewe uko salama siku zote na unalala usingizi wa pono, mnawaita nyoka wakati nyoka ni yule wanayemzuia asikudduru wewe! Thisi is very stupidWakati mmoja nikakutana na Aunt yangu (mke wa baba yangu mdogo kabisa) kwenye daladala.... namsalimia naona kimya, mpaka nikaona niuchune tu. Nimerudi home namwambia mzee, akasema siku nyingine ukiona hajakuchangamkia muache tu. Nilikuja kujua baadae sana kumbe ni mfanyakazi wa idara, na siku ile alikuwa kazini anafuatilia drug dealers; baadae ndio nikaja nikajua pia kumbe baba mdogo na yeye ni nyoka 🤣 🤣 🤣
Those days watu walikuwa na ethics. Hata wakiongea, sauti zao ni za chini sana, akiwa anaongea na wewe meza hii, wa meza ya pili hawezi kusikia. Fast forward, mke wa baba yangu mkubwa akafariki. Loh, siku ya msiba namuona, former director mmoja msibani, 😳😳😳 kumbe yule mzee nae alikuwa nyoka tangu mwaka 1965 huko. That was the first time naongea na former director, nae haiba yake ilikuwa vile vile, very quite, very low voice; amechill tu sehemu kama sio yeye.
Anyways, mambo yanabadilika; siku hizi vijana wako nje nje... kidogo tu kashatoa mashine!
Ukikutana na wa hivyo mbakilie mbali, ni tutusa tu huyo hata sheria itakulinda.Watu wanatumia hii kazi kututishia tishia yani hata raia wa kawaida nao wanatutishia ni tiss ilimradi tu tuishi kinyonge.....