inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Haya itakua yameandikwa na wenzake yohana,pale tabora enzi za mwalimu Kuna mwamba wa kigoma alihukumiwa kinyongwa,kitanzi hakikufanya kazi,mnyongaji akampopotoa shingo,kabla mnyongwaji alimuuliza mnyongaji kitanzi si imeshindikana kwa nini unakomalia kuniua!?..yule mnyongaji kilichompata baada ya pale ni historiaYohana aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, alichunwa ngozi yote lakini hakufa. Walipoona hafi anaendelea kumkiri Yesu Kristo, wakaandaa mafuta mengi, wakayachemsha sana, kisha wakamdumbukiza, lakini pia hakufa. Wakaone wakamtupe kisiwani Patmo
View attachment 2471513
Umewaza kama mimi,niliwahi kuona picha mkoloni kabebwq kwenye kiti na watumwa wake nikasema hawa wajinga kwa nini wasimbwage chini wakakimbia,ila baadae nikagundua wale walikuwa sawa na madereva wa ikulu kwa sasaKuna miaka huko mbele natumaini hata tozo kubwa kwa watu masikini na watu kusimama barabarani wakimsubiri kiongozi apite zitaonekana ni adhabu za ajabu.
Huko ikaweje?Yohana aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, alichunwa ngozi yote lakini hakufa. Walipoona hafi anaendelea kumkiri Yesu Kristo, wakaandaa mafuta mengi, wakayachemsha sana, kisha wakamdumbukiza, lakini pia hakufa. Wakaone wakamtupe kisiwani Patmo
View attachment 2471513
Ustaarabu ulikuwa mdogo sana. Ndiyo sababu ya msingi.Watu wazamani walikuwa makatili sana
Hatarii mzeeUmesahau na ile alikua akiitoa ragna kwenye vikings.. anakufunga mikono na miguu kwenye miti afu anaanza kuufungua mgongo mdogo mdogo kama anachonga kinyago Cha kimakonde