Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

Yohana aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, alichunwa ngozi yote lakini hakufa. Walipoona hafi anaendelea kumkiri Yesu Kristo, wakaandaa mafuta mengi, wakayachemsha sana, kisha wakamdumbukiza, lakini pia hakufa. Wakaone wakamtupe kisiwani Patmo

View attachment 2471513
Haya itakua yameandikwa na wenzake yohana,pale tabora enzi za mwalimu Kuna mwamba wa kigoma alihukumiwa kinyongwa,kitanzi hakikufanya kazi,mnyongaji akampopotoa shingo,kabla mnyongwaji alimuuliza mnyongaji kitanzi si imeshindikana kwa nini unakomalia kuniua!?..yule mnyongaji kilichompata baada ya pale ni historia
 
Kuna miaka huko mbele natumaini hata tozo kubwa kwa watu masikini na watu kusimama barabarani wakimsubiri kiongozi apite zitaonekana ni adhabu za ajabu.
Umewaza kama mimi,niliwahi kuona picha mkoloni kabebwq kwenye kiti na watumwa wake nikasema hawa wajinga kwa nini wasimbwage chini wakakimbia,ila baadae nikagundua wale walikuwa sawa na madereva wa ikulu kwa sasa
 
kuna moja unafungwa kamba kichwani na miguuni kwa farasi then kila farasi anaenda direction yake unachanika katikati
 
Umesahau na ile alikua akiitoa ragna kwenye vikings.. anakufunga mikono na miguu kwenye miti afu anaanza kuufungua mgongo mdogo mdogo kama anachonga kinyago Cha kimakonde
 
Back
Top Bottom