Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

Mtume anasema kwamba unywaji mzuri wa maji ni pafu ya kwanza......pafu ya pili......halafu malizia na pafu ya tatu kwa kuzingatia interval

uislam haujaacha kitu (Mola anajua zaidi)
ambapo tunaenda kwa pafu hivyo mpk pafu ya ngapi mkuu?
 
Ni kweli maji mengi sio mazur Ila. Kwakuwa kuna kampuni za kuuza maji wanawaambia watu wanywe Lita tano Kwa usiku mtu unakuwa huna Amani muda wote unaenda kukojoa piga glass yako moja baada ya Kula tulia kausha
 
tena wanatushindilia kweli na sisi

kwa hofu na uoga tuna kunywa tuuuu
 
Samahani mkuu. Hii hesabu yako imeconsider suala la hali ya hewa? Maana majira ya joto kali mtu anasweat sana ukilinganisha na majira ya baridi.
1. Kiwa ngo sahihi cha unywaji wa majini
Uzito wako gawa kwa 24, jibu linalopatikana hapo ni kiwango cha maji unachopaswa kunywa kwa lita.
2. Usinywe maji mengi kwa wakati mmoja, jitahidi kunywa maji kidogo kidogo.
 
Kwa mimi ninayekunywa 3.5 litre kwa siku imekaaje?

Lakini hapo mbona sioni madhara yaliyotajwa?
 
Kwa mimi ninayekunywa 3.5 litre kwa siku imekaaje?

Lakini hapo mbona sioni madhara yaliyotajwa?
maji hunywewa kulingana na uzito wako wa mwili

unaweza ukanywa 3.5 yakawa mengi au ukute hata

unakunywa chini ya kiwango
 
Yaan mpaka naona aibu. Huwa napiga mpaka lita 6 kwa cku. Sometimes huwa mpaka nahc kizunguzungu. Nimekoma kabisa
 
Yaan mpaka naona aibu. Huwa napiga mpaka lita 6 kwa cku. Sometimes huwa mpaka nahc kizunguzungu. Nimekoma kabisa
mkuu ulikua una poooza engine ya kitu gani?

haupo peke ako hata mimi nilikua muhanga wa kunywa maji kupitiliza

bila kipimo yani
 
Kila wakati mnabadirisha vile mnavotuaminisha..... Mnatuchosha.
 
Haha kazi ipo oyaaa wale walevi wa balimi mimi mwenzenu sema wa upande huu tunaosemwa👋😂😂 nawasalimia sana.
 
Samahani mkuu. Hii hesabu yako imeconsider suala la hali ya hewa? Maana majira ya joto kali mtu anasweat sana ukilinganisha na majira ya baridi.
Mkuu, hii ni katika kipindi cha hali ya hewa ya joto la kawaida.
Lakini pia inashauriwa zidio la kiwango chako cha unwaji wa maji lisiwe zaidi ya 1lt.
Ahsante
 
Back
Top Bottom