ambapo tunaenda kwa pafu hivyo mpk pafu ya ngapi mkuu?Mtume anasema kwamba unywaji mzuri wa maji ni pafu ya kwanza......pafu ya pili......halafu malizia na pafu ya tatu kwa kuzingatia interval
uislam haujaacha kitu (Mola anajua zaidi)
tena wanatushindilia kweli na sisiNi kweli maji mengi sio mazur Ila. Kwakuwa kuna kampuni za kuuza maji wanawaambia watu wanywe Lita tano Kwa usiku mtu unakuwa huna Amani muda wote unaenda kukojoa piga glass yako moja baada ya Kula tulia kausha
Ni mrefu kinoma alafu mwembamba kinyama literally am underweightwewe ni mfupi na utakua ni mbishi asee
1. Kiwa ngo sahihi cha unywaji wa majini
Uzito wako gawa kwa 24, jibu linalopatikana hapo ni kiwango cha maji unachopaswa kunywa kwa lita.
2. Usinywe maji mengi kwa wakati mmoja, jitahidi kunywa maji kidogo kidogo.
Soma makala nzima, majibu yako yote yapoKwa mimi ninayekunywa 3.5 litre kwa siku imekaaje?
Lakini hapo mbona sioni madhara yaliyotajwa?
mkuu ulikua una poooza engine ya kitu gani?Yaan mpaka naona aibu. Huwa napiga mpaka lita 6 kwa cku. Sometimes huwa mpaka nahc kizunguzungu. Nimekoma kabisa
Nakunywa lita 4 na sunu kwa siku na fanya mazoeziUmemaliza hivyo yaniiii...
Mkuu, hii ni katika kipindi cha hali ya hewa ya joto la kawaida.Samahani mkuu. Hii hesabu yako imeconsider suala la hali ya hewa? Maana majira ya joto kali mtu anasweat sana ukilinganisha na majira ya baridi.