Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaunga anakufahamu?
Na kwa heshima between me and yu hata my ex nyumba ndogo zote hupaswi kutolea udenda now...
Angalia The Boss...
Hii comment inaweza kunifanya nikuongezee dozi...
Kuhakikisha sibakizi cha ziada...
Ha ha ha ha kinyago tena.....kwel adui wa KE na KE mwenzie halafu Me ni kama refaree akishuhudia ugomvi na kusubiri mshindi.Mchepuko MCHARUKO huo ndiyo wa hatari zaidi hata umuonye kama usiku huwa nakuwa karibu na wife so usipige wala usi tezt lkn yy saa 8 usiku anapiga!
Usipo pokea ana text tena msg ya ajabu sana" baby najua umelala na kinyago chako lkn hii hainizuii kukuambia I love you"
Wife aliiona msg hii ndoa iliyumba sana ehehehe
Duh party spoiler umeshafika aisee
Utauweza mchakamchaka wa toto la Kihaya.
Infwact unaweza kufaidika naye. Wewe ongea naye vizuri unaweza kupata hata Ukurugenzi wa NHC!! (Mchechu anaweza kupigwa jungu la hatari unaingia wewe).
Mchepuko namba 1 huo lazima itakuwa mchepuko square...kila mtu ana wake...
Hawezi kuwa na tabia za namba 2 kwani ukimwaga ugali na yeye anamwaga mboga...
Mchepuko MCHARUKO huo ndiyo wa hatari zaidi hata umuonye kama usiku huwa nakuwa karibu na wife so usipige wala usi tezt lkn yy saa 8 usiku anapiga!
Usipo pokea ana text tena msg ya ajabu sana" baby najua umelala na kinyago chako lkn hii hainizuii kukuambia I love you"
Wife aliiona msg hii ndoa iliyumba sana ehehehe
Hahaa mie namba 3 hela 90%
Haahahahahhahahaha..................mchepuko square wengi ni matured.....na most of them wapo just for funny tu......no kuchunana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli wanawake hatupendan na hatutaendelea ng'oo
licha ya wanawake kutopendana ...........ila ni ujinga wa hali ya juu kuruhusu mchepuko umdhalilishe na kumdharau mke kiasi hicho.........imagine maumivu aliyoyapata mama wa watu hapo....kwanza mume anachepuka pili mchepuko unamwita kinyago lol..........sio fair kbs..........