Zijue aina nne (4) za michepuko

Zijue aina nne (4) za michepuko

Mzee wa mchepuko mwenyewe kataka kuchepuka kwa traffic halafu anatuambia mchepuko sio Dili
 
Unacheza na Nyumba kubwa...
Kaunga nimeshampoteza siku nyingi kwenye ramani ya The Boss...
The Boss siku hizi anadekezwa na kudeka...
kwa Kaunga anasema alikuwa anazeeka kwa majukumu...
Huku kwangu kazi yake ni kwenda gym tu na kunisubiri home...
Zaidi ya kutwa mara tatu sina usumbufu mwingine miye...

Kaunga anakufahamu?
 
Mchepuko MCHARUKO huo ndiyo wa hatari zaidi hata umuonye kama usiku huwa nakuwa karibu na wife so usipige wala usi tezt lkn yy saa 8 usiku anapiga!

Usipo pokea ana text tena msg ya ajabu sana" baby najua umelala na kinyago chako lkn hii hainizuii kukuambia I love you"

Wife aliiona msg hii ndoa iliyumba sana ehehehe
 
Ha ha ha ha kinyago tena.....kwel adui wa KE na KE mwenzie halafu Me ni kama refaree akishuhudia ugomvi na kusubiri mshindi.
 
Duh party spoiler umeshafika aisee

Utauweza mchakamchaka wa toto la Kihaya.

Infwact unaweza kufaidika naye. Wewe ongea naye vizuri unaweza kupata hata Ukurugenzi wa NHC!! (Mchechu anaweza kupigwa jungu la hatari unaingia wewe).
 
The Boss hana shida ya kazi bana...
Yeye kinachomsumbua kwa sasa ni vipi na wapi akatumie...
Si unaona alivyotulia these days...

Utauweza mchakamchaka wa toto la Kihaya.

Infwact unaweza kufaidika naye. Wewe ongea naye vizuri unaweza kupata hata Ukurugenzi wa NHC!! (Mchechu anaweza kupigwa jungu la hatari unaingia wewe).
 
Mchepuko namba 1 huo lazima itakuwa mchepuko square...kila mtu ana wake...

Hawezi kuwa na tabia za namba 2 kwani ukimwaga ugali na yeye anamwaga mboga...

Haahahahahhahahaha..................mchepuko square wengi ni matured.....na most of them wapo just for funny tu......no kuchunana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mchepuko MCHARUKO huo ndiyo wa hatari zaidi hata umuonye kama usiku huwa nakuwa karibu na wife so usipige wala usi tezt lkn yy saa 8 usiku anapiga!

Usipo pokea ana text tena msg ya ajabu sana" baby najua umelala na kinyago chako lkn hii hainizuii kukuambia I love you"

Wife aliiona msg hii ndoa iliyumba sana ehehehe

Kweli wanawake hatupendan na hatutaendelea ng'oo
 
licha ya wanawake kutopendana ...........ila ni ujinga wa hali ya juu kuruhusu mchepuko umdhalilishe na kumdharau mke kiasi hicho.........imagine maumivu aliyoyapata mama wa watu hapo....kwanza mume anachepuka pili mchepuko unamwita kinyago lol..........sio fair kbs..........
 
Me nahc mchepuko1 na 2
Cz simtegemei mwanaume ila kwa kibano cha maswali huwa anajuta.
 
licha ya wanawake kutopendana ...........ila ni ujinga wa hali ya juu kuruhusu mchepuko umdhalilishe na kumdharau mke kiasi hicho.........imagine maumivu aliyoyapata mama wa watu hapo....kwanza mume anachepuka pili mchepuko unamwita kinyago lol..........sio fair kbs..........

Yaan ukitaka kuchepuka we chepuka ila kuwa makin mkeo asizaraulike

Kwanza unaanzaje kuruhusu mkeo atukanwe au ndo unaadisia mapungufu ya mke wake kwa hawala

Huu ni ushe.nzi wa hali ya juu
 
Mwanangu michepuko ilianza zamani sana tangu dunia ilipoumbwa ila ilikuwa haijulikani sana kwa sababu ilifanywa kwa siri kubwa na technolojia ilikuwa duni hivyo watu wengi hawakuijua kama ipo. Siku hizi unachepuka na mme/mke wa mtu ndani ya chumba cha gest house kumbe kuna kamera imetegeshwa wewe hujui.kamera hii inarekodi matukio yote na baadae kutawanywa kwa watu.
 
Back
Top Bottom