Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Uchawi upo haupo?
haya mambo bwana ukisema ukutanishwe na mganga akufanyie huo utaalamu wala hautampata zaidi ya kupoteza muda na pesa.
Fikiria jinsi watu wanavyotafuta pesa kwa damu na jasho, mchana na usiku, halafu itokee eti kuna mtaalamu angawa pesa za kutumia kwa miaka kadhaa halafu ufe, nani ataacha kwenda.
Duniani hapa tunaishi maisha ya hovyo sana bila hela.
Sasa akitokea mtaalamu anayetoa pesa za kutumia ndani ya miaka mitano halafu ufe, watu tungejazana huko.
 
Uchawi upo haupo?
Kabla ya kujibu swali hilo, ni muhimu kujibu maswali ya msingi zaidi ili tusichanganye mambo.

Uchawi ni nini?

Unajuaje kwa uhakika huu ni uchawi na si kitu kingine tu ambacho kinaweza kupata maelezo mazuri tu bila kutumia hoja ya uchawi, kitu ambacho labda wewe hukifahamu tu, na kwa kutokifahamu hivyo, ukafikiri ni uchawi?
 
Zote zipo
 
WAZUNGU NI WACHAWI BALAA
 
Nimeandika ninachokijua na baadhi nimeshuhudia dunia Ina mambo boss
 
Mkuu usibishe Kwa mazoea uchawi upo. Huenda wewe na mimi sio wachawi ila ww utake usitake uchawi upo na hayo niloyasema yapo Tena Kuna zaidi ya hayo but who knows? Naomba niishie hapo
 
Mkuu ww ambae huamini uwepo wa Mungu. Nadhani hata uchawi utaona ni hadithi tu.
 
Chuma ulete ina limitations... Inakupa mahitaji muhimu tuu. Pesa yake huwezi hata kununua nguo nzuri sana sana utaishia malonya kwakuwa ukichuma sana kwa siku ni mwekundu na kuipata tena hiyo inaweza kukuchukua mpaka siku 14
Huu ni ufala wa kiwango cha SGR, kumbe ndo maana unatumika sana vijijini kwa sababu expenses zipo chini[emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo ni miaka michache ya kuishi. Kila mtu anapenda hii Oxygen ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…