Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Kuheshima fikra, mitazamo na mawazo ya watu ni ishara ya mtu mwenye elimu.

Ila kwako inatia mashaka maana unathubutu kuita mitizamo ya watu ni ujinga, kuwa mstaarabu na heshimu mitizamo ya watu.
Mkuu,

Ukija hapa unahubiri habari kwamba mavi ni dawa ya kurefusha maisha, ukawaambia watu wale mavi ili wawe na maisha marefu, halafu mimi najua mavi hayarefushi maisha, in fact kula mavi kutasambaza kipindupindu, nikikwambia huo ni uongo, mavi hayarefushi maisha, yanaleta kipindupindu, nitakuwa sijaheshimu mawazo yako au nitakuwa nimekuambia ukweli muhimu tu ambao utanusuru maisha ya watu ambao hawatapata kipindupindu kwa kuamini uongo wako?

Kwa nini tunaweka kipaumbele kuheshimu mawazo ya watu, hata kama ni ya ujinga?

Wewe huoni kwamba ukinikataza kumuita mtu mjinga mjinga na wewe hujaheshimu mawazo yangu ya kumuona huyu mjinga na kusema hivyo?

Kwa nini tusibishane on the facts, nani mjinga, kwa nini mjinga, je kumuita mjinga mjinga ni sawa au si sawa?

Kwa nini tusiangalie ujinga kama dhana abstract, tukataka kuutokomeza?

Kwa nini kumuita mjinga mjinga liwe tatizo kama mtu ni mjinga kweli?

Unaelewa kwamba ujinga si tusi, ujinga ni hali ya kutojua kitu?
 
Hapo ndo utajua ujinga wa imani za uchawi.

Uchawi ungekuwa upo kweli, Waafrika tusingetawaliwa kama tunavyotawaliwa.

Maana sisi tumeshikilia sana imani za uchawi.

Wakati wenzetu wameshikilia sayansi, teknolojia na uchumi.
Ile ni sayansi
 
Imani zingine za ajabu sana mtu akishakua na pesa mtatafta sababu za utajiri wake hakuna utajiri wa hivo watu wanapambana
 
Imani zingine za ajabu sana mtu akishakua na pesa mtatafta sababu za utajiri wake hakuna utajiri wa hivo watu wanapambana
Kuna msiba umetokea huku kitaa tayari jamaa anakua accused Kwa kumuuaa mtoto wake kisa jamaa ana MaliπŸ˜€πŸ˜€
 

Ahahah kweli mzee yaan watu wanashindw kuamin kbsa kua mafanikio yapo bila izo mambo
 

Kuna safar ndefu sana aiseee
 
Ile ni sayansi
Unajuaje hii ni sayansi na huu ni uchawi? Na unapofikiri kitu ni uchawi si sayansi, unajuaje kwamba hapo hufikiri hivyo kwa ujinga wako tu?

Mtu ambaye haelewi mchezo wa karata tatu anaweza kuona ni uchawi, wakati ni trick inayoweza kuelezewa kisayansi tu.

Sasa, na wewe unayefikiri unaona uchawi, unajuaje kwamba huoni mchezo kama karata tatu tu, ambao unaelezeka kisayansi, ila wewe bado hujauelewa unachezwa vipi tu?
 
Mimi nimesema Elon munsk anatumia sayansi na tunaona kabisa ni sayansi.
Sijsema kwamba uchawi ni sayansi
 
Kiranga Huwa aamini uchawi....Mwenye ndugu huko sumbawanga au kitunda huko mpakan mwa tabora na katavi....tumpeleke wiki Moja ntagaramia accomodations πŸ˜ŠπŸ€“πŸŒπŸ˜‡
Ili iwe kama case study Kwa wote Wasio amini uchawi...
Huyu ni mbishi sana πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila waganga bana, masharti yao mengi ni huwa tushindwe tu.
Ndo ibilisi. Tangu lini ibilisi akupe mafanikio afu uishi Kwa raha? Raha ya ibilisi ni wewe ule msoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…