Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
anatumia zote ila naona anatumia njia za ulozi wa grade ya juu sanaBakhresa yuko wapi hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatumia zote ila naona anatumia njia za ulozi wa grade ya juu sanaBakhresa yuko wapi hapo
Mkuu,Kuheshima fikra, mitazamo na mawazo ya watu ni ishara ya mtu mwenye elimu.
Ila kwako inatia mashaka maana unathubutu kuita mitizamo ya watu ni ujinga, kuwa mstaarabu na heshimu mitizamo ya watu.
🤣🤣Ukitoa Moja siku Mganga atakwambia malizia nyingine then baada ya hapo utapakatwa na wafanyakazi wako.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ile ni sayansiHapo ndo utajua ujinga wa imani za uchawi.
Uchawi ungekuwa upo kweli, Waafrika tusingetawaliwa kama tunavyotawaliwa.
Maana sisi tumeshikilia sana imani za uchawi.
Wakati wenzetu wameshikilia sayansi, teknolojia na uchumi.
Wafanyakazi wana vinasaba Gani...na utajir....
Mm Huwa natamani research zifanyike yaan pale UDSM ianzishwe department ya witchcraft & associates
Najuuliza Nchi kama Norway ni namba Moja kwenye Fishing industry
Nchi ZILIZO undergo Industrial revolution na wenyewe wana amini KATIKA ushirikina....????
Bado tunasafari ndefu sana kama taifa....
Ukifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.
Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia bus imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki wa bus ndo umetoa kafara
Unajuaje hii ni sayansi na huu ni uchawi? Na unapofikiri kitu ni uchawi si sayansi, unajuaje kwamba hapo hufikiri hivyo kwa ujinga wako tu?Ile ni sayansi
Huko ni one way ticketWote mnaongea na kusikia ingia ututhibitishie kwani kuingia si bure au
Mimi nimesema Elon munsk anatumia sayansi na tunaona kabisa ni sayansi.Unajuaje hii ni sayansi na huu ni uchawi? Na unapofikiri kitu ni uchawi si sayansi, unajuaje kwamba hapo unafikiri hivyo kwa ujinga wako tu?
Mtu ambaye haelewi mchezo wa karata tatu anaweza kuona ni uchawi, wakati ni trick inayoweza kuelezewa kisayansi tu.
Sasa, na wewe unayefikiri unaona uchawi, unajuaje kwamba huoni mchezo kama karata tatu tu, ambao unaelezeka kisayansi, ila wewe bado hujauelewa unachezwa vipi tu?
AiseeeUnakuta mtu anaanzisha taasisi au biashara baada ya muda utasikia ajari imepita na watu kadhaa[emoji3][emoji3]