Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Mungu akubariki sana ndugu Zawadi Ngoda .

Ukweli ni kwamba binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Muumbaji, ambaye ni Mungu Baba Muumba.
Alichotupa wanadamu ni tofauti na viumbe wengine alivyoviumba.

Alituumba kwa mfano wake.
Maana yake nasi tu waumbaji kama yeye.
Hivyo maisha yetu tunayaumba wenyewe kwa kadiri tupendavyo.

Kanuni ya kuwa na mali ametoa. Kwa nini hatufuati!!??

Shetani hatoi mali, bali anatoa utajiri.

Kuna tofauti kubwa kati ya mali na utajiri.

Unaweza kuwa na mali ukawa si tajiri,kama ilivyo Tanzania yangu.
...itaendelea.
 
Kama mods wangekuwa makini,huu mchango wako ulitakiwe uwe pale juu kabisa.
Kongole.
 
Ntajie kabila moja tu la kibantu ambalo neno mzungu linamaanisha mungu!
Halafu uchawi wa vita vya majimaji haukufeli bali ni usaliti wa wenzake kama kawaida ya miafrika milafi inayomuabudu mzungu ikimuona matackle yanalia mbwata, hiyo ndiyo ilifichua siri ikaharibu dawa.
Mfano mwingine mzuri ni mwanamama Riti wa kabila la Rimi/wanyaturu hapo Singida aliwapiga wajerumani kipigo cha mbwa mwizi kwa kutumia jeshi la nyuk,i walipoona wanashindwa wakatafuta watu wa karibu yake wakawahonga mali na kuwaahidi uchifu (chief Igwe na mkewe) ndipo wakavujisha siri na kupelekea shujaa Riti kuuwawa.
Waafrika tuna historia kali sema haziwekwi kwa vitabu zinawekwa zile failures tu, Mungu/Mizimu yetu so ya kitoto wazungu wako wenyewe wanaelewa hilo
 
Mkuu huyo anasumbuliwa na scientism ila ni mweupe kama pamba hata kwenye hiyo science
 
Mkuu toa connection basi ya huyu mganga maana kuna washikaji zangu ktk hili swala wapo vyema nauona utajiri kabisa
 
Kuamini uchawi ni ujinga tu.

Na watanzania wengi wanaoamini uchawi ni wajinga.

Nakazia na maranyingi ni story za vijiweni.

Kuna clip moja nilimsikiliza shabiby anasema ukitafuta mali kwa kwenda kwa waganga utachanjwa hadi sehem za siri na hela hutapata.

Namimi narudia tena anaenda kwa mganga ili apate mali ni mjinga wa kutupwa ,unampelekea mtu kuku anakupa kipapatie harafu anakwambie ule na meno yako ya kushoto na kuku mzima anamchukua yeye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ulishaenda ukapewa kipapatio leta ushuhuda apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…