kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ajali hizi!! Sio Bure!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usihadaike na wanzungu ndg yangu kwa kudhani hawajihusishi na haya mambo.Wafanyakazi wana vinasaba Gani...na utajir....
Mm Huwa natamani research zifanyike yaan pale UDSM ianzishwe department ya witchcraft & associates
Najuuliza Nchi kama Norway ni namba Moja kwenye Fishing industry
Nchi ZILIZO undergo Industrial revolution na wenyewe wana amini KATIKA ushirikina....????
Bado tunasafari ndefu sana kama taifa....
Asante Kwa maarifa hapa nimekuelewa yaaani.....usihadaike na wanzungu ndg yangu kwa kudhani hawajihusishi na haya mambo.
wazungu wana- practice sana masuala ya witchcraft(wao wanapenda kuuita magic) ila kwa namna tofauti na sisi. hawajihusishi na uchawi wa kimasikini wa vitu kama chuma ulete, sijui kutembea na kinyoka mfukoni au kufuga ndondocha.
tayari walishafanya tafiti zamani sana zinazohusu nguvu iliyopo kwenye uchawi, halafu knowledge waliyopata wakaitengenezea mfumo maalum na masharti magumu ili isiwe rahisi kwa kila mtu kuipata.
pia wametengeneza madaraja(degree) za knowledge ya uchawi. kwa mfano ktk freemason, degree ya juu kabisa ni degree 33.
inasemekana mwenye degree hii, anakuwa na nguvu kubwa sana ktk ulimwengu wa kimason na pia anakuwa na knowledge kubwa inayohusu siri mbalimbali za ulimwengu huu.
Nyoka au mtu wa kafara ni ngumu sana kufa, japo zake zikifika anakufa.Jua kanyoka kakifa nawe umekwenda
Na hakuna kisicho na masharti Dunia hii.Jambo lolote likishakuwa na masharti basi halina raha tena, hapo ni mithili ya mfungwa tu.
OkNa hakuna kisicho na masharti Dunia hii.
Mungu mwenyewe tu anamasharti
Kuna jambo moja watu hawajui.Utajiri wa nyota za watu - Wanautumia sana manabii, mitume, wachungaji n.k kwa kuiba nyota za watu wenye mafanikio na kuzigeuza kuwa mafanikio yao na familia zao...
Aina hii ya uchawi hufanywa pia na aina ya waganga wa nyota, huiba nyota ya mtu mmoja na kuikabidhi kwa mtu mwingine...
Hawapo mbali pia baadhi ya masheikh na wanazuoni waliobobea katika elimu za nyota...
NB: Hizi sio nyota zile za unajimu
Kuna jambo moja watu hawajui.
Sio Kila mwenye nyota ya utajiri ni tajiri. Unaweza ukawa na nyota ya utajiri na ukashindwa kufungua code ukaendelea kuwa masikini.
Ndiyo hapa wanaoibuka watu waona unanyota nzuri ila umekaa kiboya wanapita nayo.
Pia, inabidi uwe makini na wataalamu unaoenda kwao.
Na huo ndo mzuri [emoji851][emoji851][emoji851]Huo wa kuua wafanyakazi naona unakuja kuwa fashion Sana....
Wapi huko kakaHuu nao mwingine kuna jamaa mmoja hivi alimjengea mama ake nyumba kali sana kumbe kwenye iyo nyumba ndio jamaa anaenda kumdinya mama ake mzazi jamaa ana pesa kufuru yani mambo mengi mda mchache
...Nionyeshe Rafiki zako nitakuambia Wewe Mtu Gani !!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...Boss mimi siaminii kabisa ila Nina jamaa zangu ni walozi ile mbaya[emoji3]
Mkuu kwaiyo yeye ni nani🤣...Nionyeshe Rafiki zako nitakuambia Wewe Mtu Gani !!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Utajiri WA funza. Unakufa siku saba maiti Yako itaharibika vibaya funza kibao. Inakulazimu uwe na mke na lazima awe na roho mbaya Tena ya kutisha. Yeye ndie atakae fanya kazi ya kukusanya hao funza na kuwatunza vizuri kwenye viroba vyeupe. Wakati shuguli hiyo ikiendelea wanaopaswa kujua mchezo huo ni watu watatu tu. MGANGA MKEO NA WEWE. Lakini wewe ndio umekufa siku ya saba ikifika mchana WA saa saba MKEO atamwagia maiti Yako maji ya uvuguvugu yalio changanywa na chumvi ya mawe. Utafufuka na punde utaanza kutajwa kama bilionea mdogo anaechipukia Africa ya mashariki.
Tupo ndugu
"Essence ya Kun dalini" Huyo Kun dalini unayemzungumzia ni yule wa wasafi mwenye undugu na mondi?Mie personally hata mtu aje na magoti siwez kuonyesha hii Siri ,
Hii inaundwa vizuri tu Ila unaitaji kuinua essence ya Kundalini mpaka kwa kifua atleast , Ila shida vijana wengi ni waoga na hawajui kutunza Siri .
Hii elimu nilipewa na mtu kitambo Sana sehemu moja chipu huko .
Sema Nina Mali Sina muda wakufanya haya mambo siku hizi
Kuna kituo kimoja cha tv ajali iliua watano tena wote vijana...tena wote wa Kiume...tena wote hakuna aliyekuwa na zaidi ya miaka 40...... Inawezekana ni bahati mbaya lakini.....Unakuta mtu anaanzisha taasisi au biashara baada ya muda utasikia ajari imepita na watu kadhaa😀😀
Kuna mmiliki wa mabasi ilikua ndio zake Ila Sasa hivi Kama anausafiri Basi Ni baiskeli.Huo wa kuua wafanyakazi naona unakuja kuwa fashion Sana....