bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Kwa sababu wamekosa subira,Short cut haudumu haurithiki halali unadumu unarithika.mkuu unahisi kwanini watu wengi wamepita short cut na wengine halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu wamekosa subira,Short cut haudumu haurithiki halali unadumu unarithika.mkuu unahisi kwanini watu wengi wamepita short cut na wengine halali?
Mje nataka huo utajariri wa pumbu kutokufanya kazi....utanisaidia sana.Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
👉Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
👉Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
👉Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
👉Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
👉Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
👉Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
👉Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
👉Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka🤣🤣.
👉Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe😀😀 ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
jambo jingine nilikuwa nawaza mfano hawa matajir level ya kidunia akin elon musk, kwamba kama na wao ni freemasons , kwahiyo zile great ideas zao nan anawapa😂, au ndio ivo kwamba ukishakuwa na great ideas za ku ifluence watu, ndio Freemason wanakujia ili ujiunge nao? , maana asilimia kubwa ya mabilionea wakubwa duniani wanahusishwa na iman hizo, na kama ki kweli ina maan wanatoa kafara kuliko hawa wadogo😂, naomba mawazo mkuu?Kafara ya damu
Kina Elon musk hawa wanaitwa transformers yaani wanatumika kama madaraja ya kuhamisha technology au idea kutoka outer worlds ulimwengu usionekana na kuzileta ktk ulimwengu huu ili kusolve problem fulani.jambo jingine nilikuwa nawaza mfano hawa matajir level ya kidunia akin elon musk, kwamba kama na wao ni freemasons , kwahiyo zile great ideas zao nan anawapa😂, au ndio ivo kwamba ukishakuwa na great ideas za ku ifluence watu, ndio Freemason wanakujia ili ujiunge nao? , maana asilimia kubwa ya mabilionea wakubwa duniani wanahusishwa na iman hizo, na kama ki kweli ina maan wanatoa kafara kuliko hawa wadogo😂, naomba mawazo mkuu?
duu kwahiyo hizo transformations zinawafanya kuwa mabilionea?, vipi akina nikola tesla, albert eisteen, ?Kina Elon musk hawa wanaitwa transformers yaani wanatumika kama madaraja ya kuhamisha technology au idea kutoka outer worlds ulimwengu usionekana na kuzileta ktk ulimwengu huu ili kusolve problem fulani.
Wanapata kupitia ndoto toka kwa Mungu au shetani
Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
👉Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
👉Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
👉Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
👉Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
👉Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
👉Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
👉Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
👉Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka🤣🤣.
👉Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe😀😀 ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
Bufa mdukuzi StuxnetTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
👉Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
👉Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
👉Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
👉Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
👉Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
👉Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
👉Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
👉Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka🤣🤣.
👉Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe😀😀 ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
Upo mzee kuna watu waanzia mbali sana kutafuta pesa ila sahizi kuna msemo unasema kutafuta pesa sio kazi ila kazi kuitunza hio pesa na hapo ndo mtu unaingia kwenye mtego wa shetani mara mazindiko mara majini nkMkuu ivi unaamini kweli kuna mali au utajiri wa halali?, au anaweza akatafuta kwa njia halali bila kujihusisha na hayo mambo?
Ninavosikia freemasons wanaangalia talanta uliyonayo piajambo jingine nilikuwa nawaza mfano hawa matajir level ya kidunia akin elon musk, kwamba kama na wao ni freemasons , kwahiyo zile great ideas zao nan anawapa😂, au ndio ivo kwamba ukishakuwa na great ideas za ku ifluence watu, ndio Freemason wanakujia ili ujiunge nao? , maana asilimia kubwa ya mabilionea wakubwa duniani wanahusishwa na iman hizo, na kama ki kweli ina maan wanatoa kafara kuliko hawa wadogo😂, naomba mawazo mkuu?
Hapa ongeza nyama nyama kidogo mkuuKina Elon musk hawa wanaitwa transformers yaani wanatumika kama madaraja ya kuhamisha technology au idea kutoka outer worlds ulimwengu usionekana na kuzileta ktk ulimwengu huu ili kusolve problem fulani.
Wanapata kupitia ndoto toka kwa Mungu au shetani
'Ndugu zetu wale' ndiyo wepi hao?Kule ule wa kufanya watoto mazezeta wa ndugu zetu wale maana nimeona kama watatu Wana watoto mazezeta kabisa ila sijajua kwa nn ni wao tu .Nahisi Kuna kitu.
Msimamao wako ni upi boss naona umeweka maelezo mengi yasiyo na maingiWatanzania wote wangekuwa matajiri. Hao wakinga mnaosema matajiri ni watu wa kawaida sana ila umaskini wa watanganyika wengi wanaona mtu yeyote anayeza kula milo mtatu tu ni tajiri.
Maskini hawezi shindwa vigezo vidogo kama kutoa nduguye kafara, sijui kula punje na ujinga mwingine kama huo.
Hizi ni story za kijinga zinaaminiwa na watu wajinga.
Msimamao wako ni upi boss naona umeweka maelezo mengi yasiyo na maingi