Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Huenda hao jamaa kuingiliana ndugu kwa ndugu ni maelekezo ya ibilisi ili apate ibaada zake zifanikiwe

We waweza kudhani ni tatizo la genetic kumbe ni maelekezo Toka kuzimu
Inawasaidia kushape jamii unaona familia zinajuana kwa kushare kila kitu tabia, mizimu,thus wao ishu za talaka na vurugu kwenye ndoa ni chache ukilinganisha na sie tusioungamana na wenza wetu
 
Ongeza nyama nyama kwamba ndugu kwa ndugu wakiingiliana ni kipengele?
Hilo linaeleweka mkuu, acha sheria za nchi kukataza, hata na kibaiolojia inakataza pia kwa sababu kuna madhara ya kijenetic.

Kuoana ndugu ni tatizo kubwa sana.

Utakuta mtu kaoa binamu, wengine hadi dada zao kabisa eti ili mali isitoke nje😁🤣😚😃!

Sickle cell na utaahira ndiyo magonjwa yanayowatesa sana.
 
Wachaga nao nasikia wanajiita koo za simba
 
Back
Top Bottom