manyubhu wa manyubhuke
Member
- May 5, 2018
- 56
- 37
Nyie ndo mnaamini binadamu tulikuwa manyani miaka maelfu, au dunia hii haikuumbwa ilitokea Tu kwa super natural power,Ulichoandika wewe hapa ndicho hakina msingi wowote, ndiyo maana umeshindwa hata kuutaja.