Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Hii story niliisikia pahala, kwa mtu ninaemuamini.
 
Huu ndio rahis,ni kusogeza bar maid mwanzo mwisho,
 
Tajiri Elon Musk anauliza 😂
 

Attachments

  • Screenshot_20230226-074604_1.jpg
    19.1 KB · Views: 46
Chuma ulete ina limitations... Inakupa mahitaji muhimu tuu. Pesa yake huwezi hata kununua nguo nzuri sana sana utaishia malonya kwakuwa ukichuma sana kwa siku ni mwekundu na kuipata tena hiyo inaweza kukuchukua mpaka siku 14
Malonya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
bila kuwataja wakinga unahisi hujaongea kitu, acha wakinge watambe, nyie kuongea kazi yenu sisi kazi yetu kutafta pesa, tutafanya hesabu badae kama majungu yalikulipa au hapana
 
Kiranga una hoja nzito! Wanatakiwa wakujibu kwa facts na si vitisho.
 
Chuma ulete ina limitations... Inakupa mahitaji muhimu tuu. Pesa yake huwezi hata kununua nguo nzuri sana sana utaishia malonya kwakuwa ukichuma sana kwa siku ni mwekundu na kuipata tena hiyo inaweza kukuchukua mpaka siku 14
Mkuu wa boma. Mbona naskia kuna zingine mpaka zifasafisha pesa zote. Kama ni wekundu kwa siku hizo nyingine zinaenda wap? Ingawa najua kweli mhusika hairudii kila wakati.

Pia hilo unalosema ni umaskini ni kweli. Jirani yetu yuko ovyo sana. Aliuza viwanja viwili milion 24 haijulikani pesa kapeleka wap. Ila mtaa mzima hawatak pesa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…