Kasomeko
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 549
- 975
Kuna muv ya kinaijeria kama sikosei ni billionaire club niwah kuichek kitambo sana jamaa wale walikua na pesa ndefuu sana, mmoja wao alkua na kidonda kichwan kinatoa had funza!!! Hiyo ilikua muv.
Mwaka 2015 ndo naenda kupga kitabu dsm, mzee akanambia haina haja ya kufikia gest kuna babako mkubwa huko atakupokea. Nilimkatalia mzee sababu m sipend kukaa kwa watu hasa ambao nmewajua ukubwan so nkafikia gest.
Mzee na ndg wengne walikua wananiambia yule faza mkubwa ni tajiri sanaa anayo pesa, hotels, magari binafsi na ya kazi na mijengo kibao tu. Miez kama mitatu hiv yule mshua akaniita kwake ushuani huko nkaenda aseee ule mjengo n hatari sana na mandinga mazito yamepak.
Nyumba nzima ilikua na watu wawili tu!!!!! FAZA NA MLINZI!!!!
Chakula kinaletwa, usafi wanakuja watu wa kampuni wanasafisha na kusepa!!!!
Nilikaa na faza siku mbili nkaondoka na nkawa naendapo mala kwa mala hadi namalza kitabu sikuwah kuonapo mke, mtoto wala ndugu yan ni yey na babu mlinzi baaasi.
FAZA alikua anachechemea siku zote tangu nimjue!! Sasa miaka miwili iliyopita faza alizidiwa na mguu wa kushoto, alikua na kudonda, kidonda ndugu. Hakiponagi halafu hataki kupelekwa hospitali na hataki dawa za kienyeji wala maombi! Kidonda kilienda kinakua hadi kiunoni yaani kimekula ndan kwa ndani hadi FAZA amefariki mwaka jana hakuwah kufanya jitihada zozote za matibabu.
Pamoja na utajiri wake alioupata zaman sanaaa, kwao hajajenga, ndugu zake wa tumbo moja ni wakulima wa bustani ndogo ndogo za mboga mboga hakuwah kuwasaidia!!
Mali zake zote ziliisha kimiujiza tu maana hakua na mtoto wala mke so ndg zake wakarithi ila hadi naandika hapa hakuna mwenye chochote kilicho achwa na marehemu. Vingi vilitaifishwa na makampuni makubwa kama benk. Magar meng yalipata ajar mengne kuibiwa na madereva na kuna nyumba ziliungua moto.
MALI ZA KIDONDA.